Gerard Pique alikaa Manu misimu 3 na lishinda Ngao ya Jamii,Premier League na Champions League wakati Fabregas amekaa Arsenal misimu 8 but ameambulia FA Cup na Ngao ya Jamii

Huu ndo ujinga wa kukaa katika mahusiano na mwanamke kwa siku tatu,anajifungua halafu unajiona kiduume,hiyo mimba si yako ni ya vidume wengine,ni sawa sawa na mtoto wa kishua kujidai kwa mali za dingi yake,upumbavu mtupu!

Sina hulka ya ubishi your majesty,barca ni magwiji wa kandanda till this moment,lakini cesc kabahatika kulipata kombe ndani ya hizo 48hrs kwa coincidence tu,what must be must be namtakia maisha mema hapo cam nou na ninamuombea aepukane na adha ya kuwa permanent bench warmer,apate namba ya uhakika kikosini,asiishie kuwa rising star ila awe ever shining star for barca.
Congrats cesc for being among the heros,hata Gerald Pique angebaki manYoo Fc asingekuwa part ya mafanikio makubwa ya Barca Fc!

It's nice to see such a progressive recovery from your posttransfer jelousy disorder (PTJD), however, your long-term prognosis is still guarded. We have a good reason to keep you under the same prescription.
Aisee......Yameshakuwa hayo jirani.....Kwani kuna tatizo lolote kati ya Cesc na Arsenal?....Mbona sie tushaanza kumsahau bana.....Fabregas 3 Arsenal 0....and he scored a nice goal!
Aisee......Yameshakuwa hayo jirani.....Kwani kuna tatizo lolote kati ya Cesc na Arsenal?....Mbona sie tushaanza kumsahau bana.....
Nasikia jukwaa la Barca limehama hapa ni jukwaa la Arsenal .... .... ... tunajiandaa kwenda kuwabangua manure nyumbani kwao khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hapo ndipo watakapojua kilichomtoa kanga manyoya.
Naona kuna striker Wenger anamleta katika masaa machache ya jayo inavyosemekana.
Anaitwa Park Chu-Young ni m-South Korea, uzuri wa hawa jamaa wanakunywa supu ya mawe kwahio lazima atakuwa ngangali pale mbele kama mambo yakikamilika kama yalivyopangwa. Wenger alikuwa anataka kuongeza striker sana kwa vile Gervinho na Chamakh wanaenda Africa january.
Park Chu Young NEW Special - "Rain Maker" - YouTube
Chelsick wanataka kumchukua .... ..... ....
Kwa Mata wametupiga bao sana...Mata alistahili awe Arsenal player!Hawa huwa wanasubiri AW ataje mchezaji basi wanakimbilia kumsajili- angalia Mata!!! too low!!!

Chelsick wanataka kumchukua .... ..... ....
Kwa Mata wametupiga bao sana...Mata alistahili awe Arsenal player!
Naona leo katubia goli kwenye debut yake
Chelsick wanataka kumchukua .... ..... ....
Wakuu heshima mbele yenu!
Hivi kwanini Arsenal inafungwa maranyingi na Man U? tatizo ni nini?
Acha masihara bwana....kama wewe ni mpenzi wa EPL hebu eleza hisia zako kwa nini Arsenal inafungwa mara nyingi na Man U?Tatizo ni kuwa mpira huwa unampita goli kipa halafu unapita katikati ya ile milingoti miwili ya chuma.