Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
3 zinatosha awaingize madogo to spare some energy because next weekend tuna Spurs
Huyu jamaa ni mzigo kabisa sijui tulimsajili kwa kazi gani hasa. Alafu Arteta kamng'ang'ania hatari.Ila nyie huyu Kai watakuja kumpiga siku
😁😁😁Nketiah akimuangalia Jesus atakua anajiuliza hivi namuwekaje benchi huyu jamaa
Arteta kwa Kai ni JINGA sanaHuyu jamaa ni mzigo kabisa sijui tulimsajili kwa kazi gani hasa. Alafu Arteta kamng'ang'ania hatari.
Bado yupo uwanjani!?Arteta kwa Kai ni JINGA sana
Jinga tuKai leo mmtendee haki, kacheza vizuri
Nimecheki Kai, touch take sio mbaya, labda huko kutokufungaArteta kwa Kai ni JINGA sana
Kawatoa wachezaji muhimu kwa ajili ya game ya spursKwahiyo Arteta kamtoa mtu mwenye goli na assist halafu kamuacha mtu anayekimbia kimbia tu