yaani tumuuze ramsdale? sijapendaSami Mokbel81 alisema kwa kiwango Cha Raya mazoezini nafasi ya Ramsdale ipo mashakani ,akasema Wiki zijazo Raya ataanza kukaa Golini
Juzi kasema Baryen na Chelsea wanamtaka Lakini Arsenal haitamuuza chini ya £60m
Leo Raya kaanza tena View attachment 2756279
SawaMadrid Hana Timu yakusumbua UCL mwaka huu,nikisema hivi watu wanaona tunaropoka tu
Timu haina world. Class GK,CF,CB
Hata mimi nasubiriLink haijapatikana wakuu?
Hiyo hapo mi mb zitaishaKuna mwenye link ya kucheki game live?
Livescore inasema SAKA 8'.Nani kaweka?!
Castr katusevuHata mimi nasubiri
link aijanikubalia bado aiseeMB sina halafu naangalia kwa minyatio ila muda wote namuona anakimbia kimbia haeleweki