Mbona mi kwangu iko sawa mkuu basi ngoja nikupe ikiwa mwanzoni kabisalink aijanikubalia bado aisee
link aijanikubalia bado aisee
ssaivi imekubalilink aijanikubalia bado aisee
Mambo ya Man U yanawahusu nini huku?Nyumbu kapigwa la pili
Imekubali?tumeanza utoto
imekubali mkuu. thanksImekubali?
Dah mkuu shukrani sana link iko njema sana
UEFA waturuhusu tutor kikosi chote cha kwanza tuingize cha pili wamalizie kucheza...hii mechi tunavyocheza ni kama tupo training ground....wanatupotezea mda tu Hawa jamaa🤠🤠Nketiah akimuangalia Jesus atakua anajiuliza hivi namuwekaje benchi huyu jamaa