Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

PSG inamforce Mbappe kucheza pale.

Yaani jamaa hakabi.

Hana effort.

Dk ya 6 wenzake wanakimbiza mpira yeye katoka nje kwenda kunywa maji
 
[emoji599] Chelsea and Arsenal have asked for information on the potential Ivan Toney deal.

(@FabrizioRomano)
 
Hyu msela mi namshangaa sana....Kila nikijaribu kufanya analysis ya kile kikosi cha Nyukesto....sioni hata mchezaji kabisa unayeweza kusema hyu ataibeba timu....simuoni....ni kagrup ka wahamasishaji kamekusanywa kakafundishwa namna ya kukimbia vzuri halafu kakapelekwa uwanjani...ushahidi angalia mechi zao....tangu ligi inaanza mi naangalia mechi zao zte yaani sioni kitu special kabisa cha kushuka....yaani hakuna

Wewe hapo arsenal una mchezaji gani ambae anaweza kubeba timu mwaka jana si mlikua mnalalamika mmekosa kombe kisa hakuna mtu anayeweza kubeba timu kwahiyo mkamchukua havertz anayejua kubeba timu [emoji23].

Newcastle 16 lazima tuwepo bana mbupu uwezavyo lakini 16 round we will be there.
Ukiona AC MILAN hao tunaongelea timu iliyofika semi final last season, Arsenal ina miaka zaidi ya 17 haijafika hio semi final .
 
Kuna muda nilijipa kazi ya kupitia highlights za strikers waliopita arsenal kuanzia miaka 15 iliyopita up to the moment and nikajifunza kitu.

Jamani arshavin alikuwa mtu hasa.ni rahisi kumuona van persie ila that arshavin was superb.

Kukokota,kasi,jicho na accuracy yake was next level.kama ulitamani kuona wachezaji waliokuwa na uwezo mkubwa wa link up play jamaa alijua sana.

Muda ni hatari sana ukipita umepita acha tupambane na nketiah wetu.liverpool wanamjua huyu jamaa
Mkuu, Arshavin alikuwa mzuri lkn hakuwa mzuri kiasi hicho tulichokitegemea. Ilifika muda mpaka mashabiki wakaanza kumshambulia wenger juu ya Arshavin na muda ya utetezi wake ilikuwa kwamba watu wanalaum kumpanga captain wa timu ya taifa. Kwahiyo RVP alikuwa na misimu bora zaidi Arshavin
 
To do list today

-Laugh at Man United
-Save an Andre Onana meme
-Hype Arsenal's win
-Celebrate Saka's first UCL goal
20230919_140125.jpg
 
Haya mambo tuliyamiss sana kama mashabiki.

Declan Rice ndio kwanza anayaona akiwa Arsenal.

It's your time now skipper.
 
Unaumia kutokea wapi mkuu?

Sasa maumivu yanatoka wapi mkuu? Mimi nimekupa random fact yaani leo saka, gabriel, martineli na wengine wengi wanagusa mpira wa uefa kwa mara ya kwanza.

Hio clip inaonyesha rowe na rice wanashangaa mpira wa uefa[emoji23] wakati hayo yakiendelea hapo Colney kule etihad kina lewis , doku na matheu Nunez walikua wamebeba kombe la UEFA, You can see the difference watu wanakiss kombe wengine wanashangaa mipira ya uefa.
 
Wewe hapo arsenal una mchezaji gani ambae anaweza kubeba timu mwaka jana si mlikua mnalalamika mmekosa kombe kisa hakuna mtu anayeweza kubeba timu kwahiyo mkamchukua havertz anayejua kubeba timu [emoji23].

Newcastle 16 lazima tuwepo bana mbupu uwezavyo lakini 16 round we will be there.
Ukiona AC MILAN hao tunaongelea timu iliyofika semi final last season, Arsenal ina miaka zaidi ya 17 haijafika hio semi final .
Jana saa nne usiku kulikuwa kuna mechi kati ya mshindi wa kwanza wa group na WA pili....mshindi wa pili akafungwa goli 2 bila....ww na wale liwalo na liwe wenzako mtagawana nafasi ya 3 na 4🤠🤠🤠....anayeibeba timu pale Arsenal kwa Sasa ni Odegaard mkuu....siku akiwa na siku mbaya kazini timu inakuwa kama ime paralyze hvi...
 
Sasa maumivu yanatoka wapi mkuu? Mimi nimekupa random fact yaani leo saka, gabriel, martineli na wengine wengi wanagusa mpira wa uefa kwa mara ya kwanza.

Hio clip inaonyesha rowe na rice wanashangaa mpira wa uefa[emoji23] wakati hayo yakiendelea hapo Colney kule etihad kina lewis , doku na matheu Nunez walikua wamebeba kombe la UEFA, You can see the difference watu wanakiss kombe wengine wanashangaa mipira ya uefa.
Ni kwli kabisa hatujacheza UEFA mda mrefu kidogo🤠🤠🤠....ndo tumerudi rasmi kuungana na wenzetu....ila nyny kimbienikimbieni mara ya mwsho hii....maana kuja kupata hyo nafasi tena labda mpk yqchezwe makombe ya Dunia kama matano hv
 
Unaumia kutokea wapi mkuu?
Huyo jamaa alisema anahama Arsenal kwenda Newcastle kwa mbwembwe Sana ,akiamini Newcastle ita rise , Cha ajabu msimu huu wamekuwa ovyo Sana

Jana wametokea tundu la sindano vs Milan yenye wazee , shots 20 ,on target 9

So amekuwa na hasira Sana alichotarajia huko Newcastle kakikosa, kurudi Arsenal hawez Ni aibu, so atawasumbueni Sana , option Ni kumuacha apige kelele
 
[emoji837][emoji836]️ | Arteta set to name strong starting lineup for Champions League opener.

[emoji438] The @EveningStandard has speculated that Mikel Arteta will name a strong lineup for their opening Champions League game against PSV tonight with Gabriel Jesus returning.

[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Ramsdale
[emoji1255] Zinchenko
[emoji1054] Gabriel
[emoji632] Saliba
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 White
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Rice
[emoji629] Havertz
[emoji1189] Odegaard
[emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Saka
[emoji1045] Trossard
[emoji1054] Jesus
 
Squad for tonight Elneny is included in tonight’s match day squad
20230920_150909.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom