Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Najiuliza hyu Timber angekuwa hajaumia hvi tungefungwa hata goli moja kwli???...maana naona tumefungwa magoli ya kienyejienyeji sana mpk Sasa...hyu jamaa pale nyuma alitupa stability ya ajabu kabisa
Jamaa alitupa uwiano mzuri Sana

Naimani atacheza mechi ya Fainali May

I believe in God

A Ruptured ACL is one of the worst injuries any footballer can go through

Seeing Timber already walking without Crutches is superb mental strength
20230919_115802.jpg
 
𝐏𝐎𝐖𝐄𝐑𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐌𝐈𝐃𝐅𝐈𝐄𝐋𝐃𝐄𝐑, 𝐌𝐈𝐃𝐃𝐋𝐄 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐆𝐀𝐌𝐄

Kila Declan Rice akiwa uwanjani kuipambania jezi ya Arsenal namkumbuka PEP GUARDIOLA, Rice akifanya Undava wake naiwaza sana ada yake ya uhamisho halafu naelewa kwanini PEP alitaka kufanya mapinduzi kwenye dili lake.

Unaelewa kwanini baada ya ile pauni milioni 90 ya Arsenal lakini City akaenda kuongeza 10m, nikaelewa zaidi why MIKEL na Arsenal yake wakaenda kuongeza MZIGO.

Declan ni FULL PACKAGE eneo la kiungo, anafanya majukumu yote (Deeplaying marking, Inteception, anashinda Aerial Duel, Ball carrier halafu ni MTULIVU).

Licha ya PARTEY kuwa kitandani lakini ameonyesha kazi anaiweza, nitaendelea kumuelewa kuanzia kesho (UEFA CHAMPIONS LEAGUE). halafu kuna LONDON DERBY. Bila Partey

NB. Sasa England wata relax? Wana RICE, JUDE, FODEN, SAKA na wakali wengine. Mmmh [emoji3]

Zingo [emoji120]
20230918_171104.jpg
 
Kuna muda nilijipa kazi ya kupitia highlights za strikers waliopita arsenal kuanzia miaka 15 iliyopita up to the moment and nikajifunza kitu.

Jamani arshavin alikuwa mtu hasa.ni rahisi kumuona van persie ila that arshavin was superb.

Kukokota,kasi,jicho na accuracy yake was next level.kama ulitamani kuona wachezaji waliokuwa na uwezo mkubwa wa link up play jamaa alijua sana.

Muda ni hatari sana ukipita umepita acha tupambane na nketiah wetu.liverpool wanamjua huyu jamaa
 
Kuna game ilikuwa uefa alifanya kitu cha ajabu, nakosa maelezo mazuri na si rahisi kuipata ile clip, sababu halikuwa goli ila akili iliyotumika pale ni ya ALBERT EINSTEIN.
 
𝐏𝐎𝐖𝐄𝐑𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐌𝐈𝐃𝐅𝐈𝐄𝐋𝐃𝐄𝐑, 𝐌𝐈𝐃𝐃𝐋𝐄 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐆𝐀𝐌𝐄

Kila Declan Rice akiwa uwanjani kuipambania jezi ya Arsenal namkumbuka PEP GUARDIOLA, Rice akifanya Undava wake naiwaza sana ada yake ya uhamisho halafu naelewa kwanini PEP alitaka kufanya mapinduzi kwenye dili lake.

Unaelewa kwanini baada ya ile pauni milioni 90 ya Arsenal lakini City akaenda kuongeza 10m, nikaelewa zaidi why MIKEL na Arsenal yake wakaenda kuongeza MZIGO.

Declan ni FULL PACKAGE eneo la kiungo, anafanya majukumu yote (Deeplaying marking, Inteception, anashinda Aerial Duel, Ball carrier halafu ni MTULIVU).

Licha ya PARTEY kuwa kitandani lakini ameonyesha kazi anaiweza, nitaendelea kumuelewa kuanzia kesho (UEFA CHAMPIONS LEAGUE). halafu kuna LONDON DERBY. Bila Partey

NB. Sasa England wata relax? Wana RICE, JUDE, FODEN, SAKA na wakali wengine. Mmmh [emoji3]

Zingo [emoji120]View attachment 2754596
Anaichezesha midfielders huku anatoa Somo

Ana interceptions za kikatili na kimafia Sana, hazionekani Hadi utulize akili

Ingetokea city kambeba hiki chuma, Just imagine city yenye Rice pale dimbani, [emoji119]

IMG-20230918-WA0010.jpg
 
Anaichezesha midfielders huku anatoa Somo

Ana interceptions za kikatili na kimafia Sana, hazionekani Hadi utulize akili

Ingetokea city kambeba hiki chuma, Just imagine city yenye Rice pale dimbani, [emoji119]

View attachment 2754678
Ana mpira bdo anatoa maelekezo🤠🤠🤠🤠....angefaa kuwa Captain ila Sasa ndo kuna super Odegaard ypo
 
Arsenal bila shaka wangetuma ofa kwa Ivan Toney dirisha hili kama hangepigwa marufuku ya kucheza kamari.

Toney anakubalika ndani ya Arsenal, lakini Chelsea na Tottenham pia wana uwezekano wa kuwa kwenye kinyang'anyiro .

Brentford itahitaji angalau £60m.

[@johncrossmirror]
 
Ivan Toney alisema anaipenda Arsenal na Liverpool

Ni wazi Sion Liverpool wakiongeza CF, njia nyeupe kwa Arsenal ukizingatia mahusihano mazuri Kati ya Arsenal na Brentford
 
Mikel Arteta atafanya mkutano wake na waandishi wa habari saa 3:30 mchana wa leo kuelekea mechi ya Ligi ya Mabingwa UCL dhidi ya PSV
20230919_152646.jpg
 
Kuna chanzo Cha kuaminika kilivujisha hata injury ya Partey ambayo Arsenal waliificha kabla ya mechi na manjesta

Sept 1 alipost habari hii[emoji107][emoji107]

[emoji599] Arsenal see Ivan Toney as there next big investment with a move for the player set to come in January or next summer. The Brentford striker would cost upwards of £65m. Arsenal would have moved for him this summer had he not faced a ban from the FA so move delayed.
 
Kuna muda nilijipa kazi ya kupitia highlights za strikers waliopita arsenal kuanzia miaka 15 iliyopita up to the moment and nikajifunza kitu.

Jamani arshavin alikuwa mtu hasa.ni rahisi kumuona van persie ila that arshavin was superb.

Kukokota,kasi,jicho na accuracy yake was next level.kama ulitamani kuona wachezaji waliokuwa na uwezo mkubwa wa link up play jamaa alijua sana.

Muda ni hatari sana ukipita umepita acha tupambane na nketiah wetu.liverpool wanamjua huyu jamaa

wenger nahisi alikuwa akimpa majukumu ambayo hakuwa akiyapenda sna jamaa..

yeye wenger aliona atokee pembeni lkni ki ukweli arshavin ni mchezaji wa katikti eneo karibu na goli zaidi.
 
Teamnewsandtix

Moja ya chanzo reliable kwa habari za Arsenal ,

Inasemekana tayari Ivan Toney kashabadilisha wakala ,na move yake Ni kwenda Arsenal

Kuna mtu alisema humu juzi Kuna asilimia kubwa tukamsajili Ivan Toney sababu Arsenal now days wamekuwa wanasajili wachezaji Loyal kwa klabu

20230919_154603.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom