Ukiniuliza mm kati ya hyu na Ivan Ferguson nakwnda na hyu....hyu ana Kila kitu cha kuku offer...hata mpira wa Fujo anacheza hyu msela[emoji599] "Ivan Toney is going to leave Brentford in 2024 - 100 percent".
[emoji599] he'd prefer to stay in the Premier League!
(@FabrizioRomano
Hebu tujuzane kwanza huyu ni beki,kiungo,winger au striker?.kuna siku mtamkuta golini anadaka
Wilshere alivaa medali 2 za FA Cups akiwa ndani ya Arsenal🤠🤠🤠....au sio kombe hlo mkuuKabla hajaanza kudaka mpatieni japo kombe hata 1 ndani ya uzi wenu yasijekuwa yaleyale ya wilshere mpaka anatundika jezi ya arsenal alikuwa na zero trophy.