Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta kuhusu Vieira:

"Hilo lilikuwa kosa langu - nilisema mara nyingi kwamba sijamchezesha vya kutosha. Tunaona kila siku kipaji ambacho anacho na kile anachoweza kuleta kwa timu na nilifurahia sana uchezaji wake mwishoni mwa wiki.
20230903_212258.jpg
 
Kabla hajaanza kudaka mpatieni japo kombe hata 1 ndani ya uzi wenu yasijekuwa yaleyale ya wilshere mpaka anatundika jezi ya arsenal alikuwa na zero trophy.
Wilshere alivaa medali 2 za FA Cups akiwa ndani ya Arsenal🤠🤠🤠....au sio kombe hlo mkuu
 
“Yesterday some of them was joking in the gym putting the music on.”

Gabriel Jesus says the Arsenal players have been playing the UEFA Champions League anthem at the training ground.
 
Mikel Arteta kuhusu Vieira:

"Hilo lilikuwa kosa langu - nilisema mara nyingi kwamba sijamchezesha vya kutosha. Tunaona kila siku kipaji ambacho anacho na kile anachoweza kuleta kwa timu na nilifurahia sana uchezaji wake mwishoni mwa wiki. View attachment 2754967

Nyie wapumbavu huyu Viera ndiyo afanye nn sasa hapo EPL?
Acheni upumbavu,hamna mchezaji humo
 
Michael Owen kuhusu hali ya Raya na Ramsdale:

"Nadhani inavutia, nadhani tutajifunza kuhusu maswali haya yote katika wiki zijazo."

"Nadhani unachoweza kuona ni kwamba Arteta anampanga kipa mmoja kwa aina fulani ya mchezo, kisha kipa mwingine kwa aina tofauti ya mchezo - jinsi anavyozungumza, na vitendo vyake hadi sasa, vinaweza kuonyesha hiyo ndiyo njia anahoenda kutumia. .

“Nampenda huyu kijana. Nadhani Raya ni golikipa wa daraja la juu. Mara tu nilipomwona Brentford, nilimwambia mtu yeyote humu ndani ambaye angesikiliza, 'kijana huyu anaenda kwenye timu ya juu'. Nilidhani alikuwa mzuri, tangu dakika ya kwanza."

"Lakini namhurumia Ramsdale. Hajafanya kosa lolote. Ghafla sasa, baada ya kufanya yote makubwa, nafasi yake iko mashakani.

Nadhani wote wawili watapata nafasi."

(PL Productions via tbr)
20230917_172019.jpg
 
Tunaongelea makombe ya maana na sio ivyo vikombe mlivyojaza kabatini kwenu kuliko team yoyote ile .
Ingekuwa ni vikombe vya ajabuajabu...Nyukesto msingekuwa mnashiriki kabisa🤠🤠🤠🤠...mpk leo hujanijibu mna makombe mangapi tangu kitu kinachoitwa mpira kianze kuchezwa hapa ulimwenguni
 
Meneja wa Brentford Thomas Frank:

"Tulimuuza David Raya kwa klabu ya PL pekee - ni mkataba wa mkopo ... lakini labda utakuwa mkataba wa kudumu katika siku zijazo"

Pande zote zinazohusika(Arsenal na Brentford) zinaamini kuwa chaguo la kumnunua litaanza kutumika mwaka wa 2024 - makubaliano yalipangwa tu kwa mkopo kutokana na masuala ya FFP.
 
Ingekuwa ni vikombe vya ajabuajabu...Nyukesto msingekuwa mnashiriki kabisa...mpk leo hujanijibu mna makombe mangapi tangu kitu kinachoitwa mpira kianze kuchezwa hapa ulimwenguni

4 league title , 6 FA Cup hatuna mzuka nayo makombe ya vichupi nilishakuelekeza huwezi kujisifu kwa kombe ambalo kwako ni recently halafu tukiangalia miaka mingapi imepita toka uchukue tunakuta ni miongo miwili ( 2 decades) ni mwendawazimu pekee anaweza kujisifu kwa kombe hilo .
 
Naona unaongea kwa kujitutumua....as long as ulishawahi kulichukua basi inahesabika ww ni bingwa tyri🤠🤠🤠....hata nyny hvyo vikombe ambavyo mmechukua hata kabla ya vita ya kwanza ya Dunia inahesabika ndo maana vpo kwny history....inawezekana naongea na bwna mdgo sana...Arsenal inabeba ndoo mwaka 2004 watu tunaangalia burudani....FA Cups za karibuni tupo tunaangalia....ila ww Sasa...kipindi mnashinda hayo makombe hata Babu yako hakuwepo ila ni history....kwhyo kombe ni kombe...ndo maana nikakwambia yakizungumziwa mambo ya UEFA napiga kimya kwa sababu sina ngebe za kuongea huko ila hmu Uingereza tunaweza tukaongeq....na mwaka huu tunavaa medali....kombe gani🤠🤠🤠....sijui...ila Nyukesto...mtamaliza nafasi ya saba...na hyo ndo itakuwa achievement yenu kubwa
 
Naona unaongea kwa kujitutumua....as long as ulishawahi kulichukua basi inahesabika ww ni bingwa tyri....hata nyny hvyo vikombe ambavyo mmechukua hata kabla ya vita ya kwanza ya Dunia inahesabika ndo maana vpo kwny history....inawezekana naongea na bwna mdgo sana...Arsenal inabeba ndoo mwaka 2004 watu tunaangalia burudani....FA Cups za karibuni tupo tunaangalia....ila ww Sasa...kipindi mnashinda hayo makombe hata Babu yako hakuwepo ila ni history....kwhyo kombe ni kombe...ndo maana nikakwambia yakizungumziwa mambo ya UEFA napiga kimya kwa sababu sina ngebe za kuongea huko ila hmu Uingereza tunaweza tukaongeq....na mwaka huu tunavaa medali....kombe gani....sijui...ila Nyukesto...mtamaliza nafasi ya saba...na hyo ndo itakuwa achievement yenu kubwa
Punguza ukatili mkuu,be humble suicide is real.jali uhai wa watu.
 
Hio Arsenal ya 2004 unayojivunia nayo mimi naijua mwanzo mwisho sio lauren maya sio pascal cygan sio Edu sio viera sio gilberto silva na hata within milliseconds nakutajia na namba walizokuwa wanavaa mgogoni pasipo kukosea hata 1 kama unahisi niko mdogo kiasi ichooo kisa nashabikia Newcastle unajidanganya. Arsenal naijua mwanzo mwisho kuendana na umri wangu toka highbury mpaka emirates .

KIFUPI ARSENAL NI FALSE HOPE. Kama unataka kuamini fuatilia huko juu ujihakikishie ni jinsi gani mlivyo false hopers kuna wajinga wanawaaminisha mtafika uefa final EUROPA tu imewashinda mnafikiri UEFA ni emiratíes cup sio.
 
Tunaongelea makombe ya maana na sio ivyo vikombe mlivyojaza kabatini kwenu kuliko team yoyote ile .
Vikombe vya Emirates na mwanaFA hawa wakora ndio wanajivunia navyo.
Zimebaki dakika 5 tu kwa niaba ya Labyrinth 84 napenda kuwaalika wazee wa false hopes wote humu mujionee wenyewe mashindano ya wanaume UCL jinsi yanavyochezwa kiume kati ya Ac Milan vs Newcastle.
 
Vikombe vya Emirates na mwanaFA hawa wakora ndio wanajivunia navyo.
Zimebaki dakika 5 tu kwa niaba ya Labyrinth 84 napenda kuwaalika wazee wa false hopes wote humu mujionee wenyewe jinsi mashindano ya wanaume UCL jinsi yanavyochezwa kiume kati ya Ac Milan vs Newcastle.
Unaenda kuangalia namna Nyukesto atakavyoshughulikiwa na AC Milan🤠🤠🤠....Hawa hata wacheze uchi kwny hili group hawafikishi point tisa
 
Hio Arsenal ya 2004 unayojivunia nayo mimi naijua mwanzo mwisho sio lauren maya sio pascal cygan sio Edu sio viera sio gilberto silva na hata within milliseconds nakutajia na namba walizokuwa wanavaa mgogoni pasipo kukosea hata 1 kama unahisi niko mdogo kiasi ichooo kisa nashabikia Newcastle unajidanganya. Arsenal naijua mwanzo mwisho kuendana na umri wangu toka highbury mpaka emirates .

KIFUPI ARSENAL NI FALSE HOPE. Kama unataka kuamini fuatilia huko juu ujihakikishie ni jinsi gani mlivyo false hopers kuna wajinga wanawaaminisha mtafika uefa final EUROPA tu imewashinda mnafikiri UEFA ni emiratíes cup sio.
Na ndo maana nikakwambia it's called history....na kombe ni kombe as long as umelishinda....mwaka huu tunavaa medali tena maana ile ya community shield mnasema lile ni sahani 🤠🤠🤠....ila Nyekusto mkimaliza ligi hata nafasi ya Tano niulizwe mm imekuwaje....nyny ni saba kushuka chini huko...tena mkifanya masihara Man U atawapora hyo nafasi nyie mshike nane kabisa huko
 
Punguza ukatili mkuu,be humble suicide is real.jali uhai wa watu.
Hyu msela mi namshangaa sana....Kila nikijaribu kufanya analysis ya kile kikosi cha Nyukesto....sioni hata mchezaji kabisa unayeweza kusema hyu ataibeba timu....simuoni....ni kagrup ka wahamasishaji kamekusanywa kakafundishwa namna ya kukimbia vzuri halafu kakapelekwa uwanjani...ushahidi angalia mechi zao....tangu ligi inaanza mi naangalia mechi zao zte yaani sioni kitu special kabisa cha kushuka....yaani hakuna
 
Mimi nakuhakikishia Newcastle ataongoza kwenye group lao.
Newcastle Hana timu ya maana

AC Milan mchovu tu Hadi muda huu

Number of shots taken after 20 minutes:

◉ off target 9 na 6 on target- Milan
◎ 0 off target na 0 on target- Newcastle

Manjesta, Newcastle, Chelsea msimu huu mtagombea Europa na conference league
 
Tulia uone kipindi cha pili jinsi Milan anavyoachia points 3 kiulaini kabisa.
Ac Milan hana tofauti na Asaninyau attemps 2300 halafu anaishia kupata kagoli kamoja, Newcastle akiingia ndani ya box mara 10 jua tayari ana goli moja.
Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha refa roho inamsuta kwa kuwanyima Newcastle penalty ya wazi kabisa baada ya Longstaff kusukumwa na kuangushwa ndani ya box akiwa na mpira akienda kufunga.
 
Back
Top Bottom