makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,861
- 104,005
Kwanin Gabriel jesus yuko bench, je ni kwa ajili ya game ya uefa au ndio nketiah kawa first choice wa arteta!!?
UCL tunahitaji rotationKwanin Gabriel jesus yuko bench, je ni kwa ajili ya game ya uefa au ndio nketiah kawa first choice wa arteta!!?
Naamini Uefa ila Arteta haeleweki unaweza kuta hata Kai yupo nje kwaajili ya uefaKwanin Gabriel jesus yuko bench, je ni kwa ajili ya game ya uefa au ndio nketiah kawa first choice wa arteta!!?
Hii kauli hakuisema Nketiah moja kwa moja, aliiongea Arteta indirectly lakini kuonyesha how hard he was working.Eddie Nketiah alimwambia Arteta ,kwa mazoezi ninayojituma usiponipanga wewe Ni kipofu
Sipo na kifaa ambacho ningeipata ingekua sure ila test hiiWadau nahitaji link.
Na mpira mwingiEverton akipigwa chuma kuanzia tatu itakua safi sana
Ila nae ana hasira. Hajashinda mechi ata moja.Everton akipigwa chuma kuanzia tatu itakua safi sana
Yeah atafutwe chocho zoteNa mpira mwingi
Kwaio tunachotakiwa kufanya sisi ni kupiga pale pale kwenye mshonoIla nae ana hasira. Hajashinda mechi ata moja.
Yah trueHii kauli hakuisema Nketiah moja kwa moja, aliiongea Arteta indirectly lakini kuonyesha how hard he was working.
Hizo pass za viera hapo katiYeah atafutwe chocho zote
Ule msako wa utatoa hautoi?