Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20230917-121928.png

#COYG
 
Nimeota Kai with assist na goli lake moja leo.

Flano, maana ya hii ndoto ni nini?
Kai kiungo ya ball, mzee wa kuwin aerial duel, inverted MF, mzee wa press resistant bila kusahau pia ni mnyumbulifu.
Tafsiri ya ndoto yako leo Kai anapiga hatrick

#Arsenyo Ndoo
#Kai Kiatu
#Kai Ballon d'Or
 
Katika mchezaji ambaye timu hazikumfuata dirisha lililopita na nikashangaa ni Mitoma huyu winger wa Brighton.

Kisha katika game ya jana dhidi ya United nikahisi ni kwanini timu hazikumfuata. Nahisi zinataka proof zaidi kwenye efficiency ya ke kwenye kushambulia. Jamaa anadribble na anafanya mabeki wawe attention akiwa uwanjani.

Ila jana nikaona Mitoma akiwa man marked hata na mtu mmoja huku timu ikifanya low block efficiency yake inapungua kwenye kushambulia. Hata hivyoi aliwekwa na Lamptey so hapa kuna mawili ama Lamptey anashindwa kuifanya kazi ya Estupinan kwa Mitoma au ni weakness ya Mitoma pekee.

Lamptey ni mchezaji mzuri kwa back 3, laklini uwepo wake umefifisha uwepo wa Mitoma.

Ni kama Martinelli uwepo wake unavyofifishwa na Kai. Kabla haujawish aanze Vieira subiri kidogo, kumbuka Vieira hua na impact akianza au akiingia baadaye? So a key ni Trossard haswa kwa game ya leo
 
Kai kiungo ya ball, mzee wa kuwin aerial duel, inverted MF, mzee wa press resistant bila kusahau pia ni mnyumbulifu.
Tafsiri ya ndoto yako leo Kai anapiga hatrick

#Arsenyo Ndoo
#Kai Kiatu
#Kai Ballon d'Or
MANJESTA
Mngetulia jukwaa kwenu kuona jinsi gani mtamkabili bayern
 
MANJESTA
Mngetulia jukwaa kwenu kuona jinsi gani mtamkabili bayern
Daaahhh kwa kua jana Dawati la jinsia tumezabuliwa goli 3 ndio haturuhusiwi humu hata kujibu maswali tunayoulizwa?
Huu ni unyanyasaji wa wazi kabisa, Masingeli naomba ingilia kati huu unyanyapaa tunaofanyiwa sisi mashabiki wa Dawati Fc humu ndani.

#Arsenyo Ndoo
#Kai Kiatu
#Kai Ballon d'Or

1694945170624.jpg
 
View attachment 2752160
Kwa ajili ya kulinda afya yako ,hamia Arsenal ushuhudie mpira mzuri ,pass za kutosha

Kuiangalia Arsenal Ni tiba Tosha,

Mwez wa 12 utarudi manjesta, Ten hag wanamtimua ,ila Naomba msimchukue Di Zerbi, muendelee kutaabika ,mna mdomo mtatusumbua Sana,

Najua mtaokoteza Tena makocha wa ujanjaujanja
 
Hili timu letu tokea lilivyoachana na mambo muhimu ya mpira na kujikita zaidi katika masuala ya dawati la kijinsia limeanza kupoteza mpaka mvuto.
Ila ndio hivyo tena Once a Nyumbu your always a Nyumbuz.
tapatalk_1472587482_335x459.jpg
 
Nimeona sehemu Everton wanakuja na traditional 4-4-2 mbele Calvert lewin na Beto

Ila leo watatueleza vzr
Leo nikiwa naiangalia Arsenal pia nitakua namuangalia huyo straika Beto.

Jamaa ana nguvu sana, ameenda juu, anaweza kuhold vizuri mpira.. Nahisi Saliba na Gabriel leo wataulizwa maswali mengi na huyu jamaa.
 
Raya kapost Instagram poster hii

Na chelea kusema huenda akaanza leo

Ili Ramsdale aonje utamu wa UCL jumatano

View attachment 2752182

Kama sikosei jana au juzi ndo ilikua birthday ya Raya.

Leo nahisi ataanza ikiwa kama birthday present kwake.

Good thing is Arsenal wanazingatia sana vitu kama hivyo coz nakumbuka kuna siku Ødegaard alimpa kitambaa Zinchenko kwenye siku ya uhuru wa Ukraine, japo hiyo ya Zinchenko ilikaa kisiasa zaidi, lakini generally tuna utaratibu huo.

Angekuwa mchezaji wa ndani, kwa kuwa sio starter basi angeanzia benchi akaingia sub. Ila kwa kuwa ni kipa, we usually don't do subs for GKs unless they're injured, which will probably be his debut today tuweze kum-wish vizuri na ushindi.
 
Back
Top Bottom