Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

United wanataka kupiga back passes kama walivyotufanyia.

The game plan failed kwa Arsenal. Ila wanaicheza tena leo
 
Kitu kikishapita muda wa 2 decades hakina maana tena mzee ndo maana unaona Nottingham forest wakija kujitamba wana uefa unawapuuza , miongo 2 ( miaka 20) without epl & uefa huna kombe lolote la maana.

Atleast ukae muda mrefu then uchukue kombe ndo tuhesabu makombe ya zamani kama liverpool alivyofanya, sasa wewe unataka kuhesabu makombe wakati last seen 2004
Hzo Sasa fikra zako🤠🤠🤠....leta makombe ulochukua hapa uoneshwe nn maana ya ukubwa🤠🤠🤠
 
Tunahitaji kikao cha haraka kujadili mwenendo wa wenzetu Hawa....hii si sawa....tuandamane kipara ten hag afukuzwe atawashusha daraja aisee
Mimi.nilishamaliza kuhusu hao jamaa

Sky sport siku hizi na wachambuzi wengi wanafanya kurudia niliyoyasema

Kwasasa nakuwa mtazamaji

Pale kocha uwezo mdogo

Anzia kwenye Sajili zake

Anasajili kipa based possession kwenye timu based ujanja ujanja
 
Brighton dawa Yao ni moja ukitaka kuwafanyia pressing Basi fanya Full pressing ,Kama huwez wavizie tu maana wakifanya buildup Yao huwa rest defence Yao haiwi imara Kama ya Arsenal au Mancity ,ndio tofaut Yao

Timu nyingi zikitaka kupishana nao zinapigwa nyingi

Leo manjesta kawekewa wachezaji wengi wa bench ,

Kuna mtu nilimwambia Manjesta yupo OT Lakini ataingia Kama underdog akaona nafanya dharau

Buildup Yao inatajwa Kama buildup Bora duniani kwa Sasa

Pep Guardiola hata yeye kaiiga kwasasa
 
Back
Top Bottom