clinical pharmacology2
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,387
- 2,516
Tunachukua wanaopenda timu tu.


Cha-goat.Xavi yupo but Arteta hayupo?Ange yupo wa spurs pia ?Saka hayupo kwenye best FIFA ?hizi ni tuzo au tuzo za Makalio(sorry to say this)it is unacceptable
Xavi kachukua la liga na barca, Ange kachukua Scottish league na celtic .
Rice yupo pale kutokana na Europa conference league.
Arteta hana kombe lolote anaanza vipi kuwepo hapo? Saka hana kombe lolote anaanza vipi kuwa humo?
Wote waliopo kwenye list ni either wameshinda kombe lolote au alifika Uefa final.
Arteta na mwanao saka hawastahili kuwepo kwenye nomination hawana chochote cha maana ni zero achievement braza.
2nd place and Europa quarter final si sifa za kufanya mchezaji yeyote wa arsenal awepo kwenye list hio ni FIFA best , sasa unaanzaje kuwa best with nothingna haujashiriki fainali yoyote ile.



ndugu yangu Labyrinth 84 hua unanifurahisha sana, yaani kima za humu zikijifanya kukuletea ujuaji wewe unachukua msumari na kuanza kuzichokonoa palepale kwenye kidonda. 



Na supercomputer msimu huu imetabiri Manyumbu mnamaliza nafasi ya 15...kama kuna kaukweli flani hivi



nilijua tu wewe tena chawa promax wa Mc Masingeli lazima uje ushadidie humu habari za Supakompyura. Msiba wa kesho wafiwa mmeshaanda mazingiranilijua tu wewe tena chawa promax wa Mc Masingeli lazima uje ushadidie humu habari za Supakompyura.
Hio Supakompyura msimu ulioisha si iliwatabiria mtachukua Epl?
Tuonesheni basi kombe lenu mlilopewa na Supakompyura tuwasaidie kushangilia.
Imebidi nimkumbushe tu computer arsenal maana nilijua ni yule kijana wa sifa na kuabudu aliyenipiga marufuku nisiquote maneno yake , kuangalia vizuriii nakuta ni computerarsenal nikasema amekutwa na nini au tayari kashajiunga kwenye sifa na kuabudu😆ndugu yangu Labyrinth 84 hua unanifurahisha sana, yaani kima za humu zikijifanya kukuletea ujuaji wewe unachukua msumari na kuanza kuzichokonoa palepale kwenye kidonda.
Kwa mifano hio uliyompa naona mpaka swahiba wangu computerarsenal anajicheka kimoyomoyo![]()
Imebidi nimkumbushe tu computer arsenal maana nilijua ni yule kijana wa sifa na kuabudu aliyenipiga marufuku nisiquote maneno yake , kuangalia vizuriii nakuta ni computerarsenal nikasema amekutwa na nini au tayari kashajiunga kwenye sifa na kuabudu![]()



ila mwanangu Labyrinth 84 usiwe unapotea sana humu, maana kuna wahuni humu ukiadimika kidogo tu wanakuja na uongo za hatari, lakini wakiwa wanakuonaona hua wanajishtukia maana wanajua watashushiwa evidence za kushiba zinazoambatana na vivid examples.


Ila wewe jamaa hata kama mimi ningekua ni shabiki wa Arsenyau lazima ningekuchukia maana sio kwa shahidi za naked truth unazowekaga humu aiseeee.😂😂😂😂 nilipotea kidogo ila nimerudi rasmi naona walinenepa sana baada ya kukupiga chuma 3 zile yaani sijui kwanini wakishinda kwako wanaona kama wameshachukua ubingwa hii gemu ingekuwa katikati ya msimu wangejitangazia ubingwa.ila mwanangu Labyrinth 84 usiwe unapotea sana humu, maana kuna wahuni humu ukiadimika kidogo tu wanakuja na uongo za hatari, lakini wakiwa wanakuonaona hua wanajishtukia maana wanajua watashushiwa evidence za kushiba zinazoambatana na vivid examples.
Ila wewe jamaa hata kama mimi ningekua ni shabiki wa Arsenyau lazima ningekuchukia maana sio kwa shahidi za naked truth unazowekaga humu aiseeee.
nilipotea kidogo ila nimerudi rasmi naona walinenepa sana baada ya kukupiga chuma 3 zile yaani sijui kwanini wakishinda kwako wanaona kama wameshachukua ubingwa hii gemu ingekuwa katikati ya msimu wangejitangazia ubingwa.
Naona uefa wanatangaza wanamuogopa city tuhizi timu nyingine wanaziona kama level zao tu kisa city alishinda kwa madrid , bayern, inter baasi wanaona madrid mbovu na bayern mbovu ila hawa false hopers wanafurahisha sana.



ukiwasikia humu ndani jinsi wanavyojazana ujinga kuhusu kuchukua Uefa msimu huu unabaki unacheka tu.Ww na kile kikundi chako utakuja kuongea nn Sasa hmu mkuu🤠🤠🤠...mechi 4 points 3 halafu unakuja kuzurura hmu na kuvimba🤠🤠🤠...kesho mnaocheza tena na WA level zenu ila kuna kitu kitawakuta tena🤠🤠🤠😂😂😂😂 nilipotea kidogo ila nimerudi rasmi naona walinenepa sana baada ya kukupiga chuma 3 zile yaani sijui kwanini wakishinda kwako wanaona kama wameshachukua ubingwa hii gemu ingekuwa katikati ya msimu wangejitangazia ubingwa.
Naona uefa wanatangaza wanamuogopa city tu 😂😂 hizi timu nyingine wanaziona kama level zao tu kisa city alishinda kwa madrid , bayern, inter baasi wanaona madrid mbovu na bayern mbovu ila hawa false hopers wanafurahisha sana.
Wiki hii mm ni Brighton damudamu🤠🤠🤠....tusiposhinda hii mechi tutakuwa tumejiabisha sana🤠🤠🤠...tena inatakiwa tupate goli 3 kwnda juuila mwanangu Labyrinth 84 usiwe unapotea sana humu, maana kuna wahuni humu ukiadimika kidogo tu wanakuja na uongo za hatari, lakini wakiwa wanakuonaona hua wanajishtukia maana wanajua watashushiwa evidence za kushiba zinazoambatana na vivid examples.
Ila wewe jamaa hata kama mimi ningekua ni shabiki wa Arsenyau lazima ningekuchukia maana sio kwa shahidi za naked truth unazowekaga humu aiseeee.
Brighton watatufunga nyumbani kwao lakini sio hapo OT.Wiki hii mm ni Brighton damudamu....tusiposhinda hii mechi tutakuwa tumejiabisha sana
...tena inatakiwa tupate goli 3 kwnda juu
Mwaka jana kwni pale OT ilitokaje matokeo🤠🤠🤠...kudundwa kupo palepale mkuu🤠🤠Brighton watatufunga nyumbani kwao lakini sio hapo OT.
Ww na kile kikundi chako utakuja kuongea nn Sasa hmu mkuu...mechi 4 points 3 halafu unakuja kuzurura hmu na kuvimba
...kesho mnaocheza tena na WA level zenu ila kuna kitu kitawakuta tena
![]()