Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Supercomputer predicts the 2023/24 UEFA Champions League.

As per the supercomputer’s calculations, the top three favorites to win the Champions League are reigning champions Manchester City, Bayern Munich, and Arsenal.

While Manchester City and Bayern Munich lead the pack, Arsenal are considered a genuine threat with an impressive win percentage projection of 8.7%.View attachment 2748692
Kichekesho hiki😆
 
Usajili ujao Ni Striker

Ivan Toney
Evan Ferguson
Ollie Watkins
Victor Osmhem

Nani ungependa kumuona viunga vya Emirates
20230914_100323.jpg
 
Supercomputer predicts the 2023/24 UEFA Champions League.

As per the supercomputer’s calculations, the top three favorites to win the Champions League are reigning champions Manchester City, Bayern Munich, and Arsenal.

While Manchester City and Bayern Munich lead the pack, Arsenal are considered a genuine threat with an impressive win percentage projection of 8.7%.View attachment 2748692
Msimu uliosha ulikuja na hizohizo ngojera za Supakompyuta kuwatabiria kua lazima mtachukua Epl, vipi mlichukua?
Sasa hivi chawa zako pro-max kina mkorea na arsenal2004 nao wataanza kushadadia habari za Supakompyuta humu.
Masingeli muogope Mungu ndugu yangu, hii mambo ya kuwageuza binaadamu wenzio kua misukule yako ni dhambi kubwa sana.
 
Supercomputer ilisema tutashika no.2 au kuwa Bingwa

Usijitoe fahamu
 
Arsenal ilitangaza orodha ya majina 25 ya kusajiliwa kwa kipindi cha kwanza cha msimu wa 23/24 wa Premier League. Kati ya majina 25 kwenye orodha hii, hakutakuwa na zaidi ya wachezaji 17 wasio wa nyumbani.(wazawa)

"Mchezaji wa nyumbani" ina maana kwamba Ni mchezaji bila kujali taifa au umri, amesajiliwa na klabu yoyote ya Uingereza au Wales kwa muda, iwe kwa kuendelea au la, lakini lazima awe kwa angalau misimu mitatu kamili kabla ya siku yake ya kuzaliwa ya 21. au mwisho wa msimu ambao atatimiza miaka 21).

Jina la JurrienTimber nalo limejumuishwa kwenye orodha hii.

Orodha ya kina inajumuisha wachezaji wa geni na wachezaji wa nyumbani wenye alama ya *

Mohamed Elneny
Kai Havertz
James Hillson*
Jesus Gabrieli
Jorginho
Jakub Kiwior
Gabriel Magalhaes
Gabriel Martinelli*
Reiss Nelson*
Eddie Nketiah*
Martin Odegaard
Thomas Partey
Aaron Ramsdale*
David Raya*
Declan Rice*
Bukayo Saka*
William Saliba*
Emile Smith Rowe*
Cedric Soares
Jurrien Timber
Takehiro Tomiyasu
Leandro Trossard
Fabio Vieira
Ben White*
Oleksandr Zinchenko

Wachezaji kutoka timu ya U21 wanaweza kutumika wakati wowote. Orodha ya wachezaji 25 hapo juu itadumishwa hadi dirisha la usajili la majira ya baridi litakapofunguliwa.
 
Supercomputer ilisema tutashika no.2 au kuwa Bingwa

Usijitoe fahamu
hio kushika no.2 unaongea wewe hii leo ila msimu ulioisha ulituongopea humu kua Le Supakompyuta ilisema Arsenyau ndio mabingwa wa Epl.
Hilo li Supakompyura linatakiwa lifundishwe kua kuna tofauti kati ya makombe ya Uefa/Epl na Makombe ya FA/Emirates na ngao za jamii.
 
Usajili ujao Ni Striker

Ivan Toney
Evan Ferguson
Ollie Watkins
Victor Osmhem

Nani ungependa kumuona viunga vya EmiratesView attachment 2748719
Nampenda Ivan Toney ila naona anachoweza ku-offer ndio anachofanya Gabriel Jesus.
Toney ana threat zaidi akicheza nyuma ya mshambuliaji yeye akiwa kama SS au false 9.
Ana link-up play vizuri, holder mzuri, very good in control na ni mfungaji mzuri wa mabao.
Pace yake tu ndo ipo chini.

Even Ferguson ni mpachika mabao mzuri sana lakini kuja kumtoa pale Brighton timu zitatakiwa kutoa si chini ya £100 mil, in which kwa kijana wa miaka 18/19 ni gamble.
So sitoshangaa akiendelea kuwepo kwa misimu kadhaa pale Brighton.

Ollie Watkins, ni mzuri na namkubali. Otherwise, no comment!

Victor Osimhen, what a player. Ana nguvu, ana pace, anaweza kutupa magoli 30+ kwa msimu.. Tatizo la huyu pia ni price tag, plus timu yenyewe ya kufanya nao biashara, Napoli ni sumbufu.
Wao wamenunua £80+ mil, unafikiri watamuuza kwa ngapi at his peak right now ukiongeza na umri wake ndio kwanza 24?
Na mchezaji wa namna hii usikute anawaza kucheza Real Madrid au Barcelona.

Ninavyoona kwa jinsi timu yetu ilivyo na namna recruitment ya wachezaji inavyofanyika siku hizi, ya kuchukua wachezaji wenye mapenzi na timu, nahisi tunaweza kununua loyalty ya either:

Ivan Toney au Ollie Watkins,

Ukizingatia hao wameprove kwenye EPL kwa misimu kadhaa, na experience yaliyo nayo plus umri walio nao sasa ni wa ushindani, they'll do us good!
 
Msimu uliosha ulikuja na hizohizo ngojera za Supakompyuta kuwatabiria kua lazima mtachukua Epl, vipi mlichukua?
Sasa hivi chawa zako pro-max kina mkorea na arsenal2004 nao wataanza kushadadia habari za Supakompyuta humu.
Masingeli muogope Mungu ndugu yangu, hii mambo ya kuwageuza binaadamu wenzio kua misukule yako ni dhambi kubwa sana.
Arsenal NDOO

Msimu huu ndio mtatuelewa vizuri
 
Arsenal NDOO

Msimu huu ndio mtatuelewa vizuri
Arsenyau wazee wa false hopes msimu ulioisha mpaka mwezi April zikiwa zimebaki mechi 8 mlikua mnaongoza ligi kwa points 8 halafu mwezi May mechi ya ya 37 imebaki mechi moja ligi kuisha Mancity akawa anaongoza ligi kwa points 8 dhidi ya Arsenyo.
Watu tunavyipigaga kelele humu kua Arsenyo ni fungu la kukosa mue mnaelewa.
1694687753886.jpg
 
Hiyo hashtag wachawi mliingilia Kati tukafeli sehem ndogo sana

Ila huu msimu arsenal NDOO ni uhakika
Hiki Kiatu bado sijaona kinaangukia kwa Nan
msimu huu kipara amesema anashilikia bomba mwanzo mwisho, mambo ya kuwaacha mkae kileleni kwa siku 258 halafu muanze kutupigia kelele humu kua juu kileleni baridi ni kali sana msimu huu hayapo tena, tayari City amecheza mechi 4 na ameshinda zote, ile record ya unbeaten inaenda kuvunjwa msimu huu.
Screenshot_20221119_110602.jpg
 
Arsenal ilitangaza orodha ya majina 25 ya kusajiliwa kwa kipindi cha kwanza cha msimu wa 23/24 wa Premier League. Kati ya majina 25 kwenye orodha hii, hakutakuwa na zaidi ya wachezaji 17 wasio wa nyumbani.(wazawa)

"Mchezaji wa nyumbani" ina maana kwamba Ni mchezaji bila kujali taifa au umri, amesajiliwa na klabu yoyote ya Uingereza au Wales kwa muda, iwe kwa kuendelea au la, lakini lazima awe kwa angalau misimu mitatu kamili kabla ya siku yake ya kuzaliwa ya 21. au mwisho wa msimu ambao atatimiza miaka 21).

Jina la JurrienTimber nalo limejumuishwa kwenye orodha hii.

Orodha ya kina inajumuisha wachezaji wa geni na wachezaji wa nyumbani wenye alama ya *

Mohamed Elneny
Kai Havertz
James Hillson*
Jesus Gabrieli
Jorginho
Jakub Kiwior
Gabriel Magalhaes
Gabriel Martinelli*
Reiss Nelson*
Eddie Nketiah*
Martin Odegaard
Thomas Partey
Aaron Ramsdale*
David Raya*
Declan Rice*
Bukayo Saka*
William Saliba*
Emile Smith Rowe*
Cedric Soares
Jurrien Timber
Takehiro Tomiyasu
Leandro Trossard
Fabio Vieira
Ben White*
Oleksandr Zinchenko

Wachezaji kutoka timu ya U21 wanaweza kutumika wakati wowote. Orodha ya wachezaji 25 hapo juu itadumishwa hadi dirisha la usajili la majira ya baridi litakapofunguliwa.
Cedric tumekosa mahali pa kumbwaga!!?
 
msimu huu kipara amesema anashilikia bomba mwanzo mwisho, mambo ya kuwaacha mkae kileleni kwa siku 258 halafu muanze kutupigia kelele humu kua juu kileleni baridi ni kali sana msimu huu hayapo tena, tayari City amecheza mechi 4 na ameshinda zote, ile record ya unbeaten inaenda kuvunjwa msimu huu. View attachment 2748924
Unbeaten itavunjwa na unbeaten

Nakuibia Siri city msimu huu ita struggle eitherkwa players kuwa na fatigue (exhausted) au key players kuwa injuries
Ameuanza kdb

Nyumbu mkijikaza kidogo mnaweza mkatupa challenge on title
 
Back
Top Bottom