hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Nahisi Raya , Trosaard tutaanza kuwaona Jumatano UCLItapendeza kumuona David Raya golini jumapili.
Jorginho akianza pia itakua vizuri.
Vile vile itapendeza tukiwaona Trossard, Fabio, ESR, Kiwior na Nelson wakipata muda wa kucheza.View attachment 2750158
Niliona sehemu Raya amekuwa na kiwango kizuri mazoezini hivo anakaribia kuanza kucheza