Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nampenda Ivan Toney ila naona anachoweza ku-offer ndio anachofanya Gabriel Jesus.
Toney ana threat zaidi akicheza nyuma ya mshambuliaji yeye akiwa kama SS au false 9.
Ana link-up play vizuri, holder mzuri, very good in control na ni mfungaji mzuri wa mabao.
Pace yake tu ndo ipo chini.

Even Ferguson ni mpachika mabao mzuri sana lakini kuja kumtoa pale Brighton timu zitatakiwa kutoa si chini ya £100 mil, in which kwa kijana wa miaka 18/19 ni gamble.
So sitoshangaa akiendelea kuwepo kwa misimu kadhaa pale Brighton.

Ollie Watkins, ni mzuri na namkubali. Otherwise, no comment!

Victor Osimhen, what a player. Ana nguvu, ana pace, anaweza kutupa magoli 30+ kwa msimu.. Tatizo la huyu pia ni price tag, plus timu yenyewe ya kufanya nao biashara, Napoli ni sumbufu.
Wao wamenunua £80+ mil, unafikiri watamuuza kwa ngapi at his peak right now ukiongeza na umri wake ndio kwanza 24?
Na mchezaji wa namna hii usikute anawaza kucheza Real Madrid au Barcelona.

Ninavyoona kwa jinsi timu yetu ilivyo na namna recruitment ya wachezaji inavyofanyika siku hizi, ya kuchukua wachezaji wenye mapenzi na timu, nahisi tunaweza kununua loyalty ya either:

Ivan Toney au Ollie Watkins,

Ukizingatia hao wameprove kwenye EPL kwa misimu kadhaa, na experience yaliyo nayo plus umri walio nao sasa ni wa ushindani, they'll do us good!
Hata Mimi nahisi wataenda kwa Toney au Watkins ,Maana hadharani walionesha wanapenda kuchezea Arsenal

Naamini tutawekeza Tena £100m kwa Watkins au Toney ambaye anaweza patikana kwa £70-80m
 
Arsene Wenger:

"I felt they (Arsenal) invested serious money in the last 4 years, they invested lot of money, but I must say they invested it well.

They still have a young team, a talented team. I think they learned from what happened to them last year."

"They couldn’t cope well with that, mentally it was very difficult. I’m sure they would’ve learned from that. Maybe they can take advantage of (de Bruyne injury, Gundogan leaving)

We have to deal with the UCL, so that costs points as well."
 
Unatusunbua humu lakin unajua jumamos una Brighton ,jumanne una Baryen
Usiwe na wasiwasi cha-mbuzi wetu nguli, naomba nikuhakikishie tu kua jumanne tunaenda kuwalipia kisasi Arsenyau kile mlichogongwa goli 10 na Baryen.
Sisi Utd kama kaka zenu hatuwezi kuwaona nyinyi wadogo zetu mkidhalilishwa na Wajerumani halafu tukakaa kimya, kitu tunaenda kumfanya Mjerumani lazima ajute kwa ile dhambi ya kuwaonea watoto wa Academy.
tapatalk_1075552489_369x207.jpg
 
Usiwe na wasiwasi cha-mbuzi wetu nguli, naomba nikuhakikishie tu kua jumanne tunaenda kuwalipia kisasi Arsenyau kile mlichogongwa goli 10 na Baryen.
Sisi Utd kama kaka zenu hatuwezi kuwaona nyinyi wadogo zetu mkidhalilishwa na Wajerumani halafu tukakaa kimya, kitu tunaenda kumfanya Mjerumani lazima ajute kwa ile dhambi ya kuwaonea watoto Academy. View attachment 2749010
Baryen wakawaida Sana

Ila kwa manjesta hii ambayo hata pass 10 haiwezi mnapigwa na Brighton, Baryen anakuja kutonesha kidonda

Believe me kufikia mwez wa 12 mtakuwa mnanena kwa lugha
 
BREAKING:

Declan Rice has been nominated to The Best Award. 󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
20230914_165442.jpg
 
kwanini key players wetu wakisha sign new contract na wakiwa highest earners kwa club wanaanza kuwa flop...refer ozil,auba na half haverz
NB: siombei hiyo trend iwe kwa ode
Kai Ni new signing,Kuna taarifa zinasema sio kweli Kai Ni top earner ,Top earners Ni Jesus ,Saka ,Partey na Saliba ndio anafata Kai ,

Mbona Saka, Martinelli,saliba, wamesaini £180-200k per week wapo vzr tu

Saka nasikia Ni £200-250k
 
Xavi yupo but Arteta hayupo?Ange yupo wa spurs pia ?Saka hayupo kwenye best FIFA ?hizi ni tuzo au tuzo za Makalio(sorry to say this)it is unacceptable
 
hio kushika no.2 unaongea wewe hii leo ila msimu ulioisha ulituongopea humu kua Le Supakompyuta ilisema Arsenyau ndio mabingwa wa Epl.
Hilo li Supakompyura linatakiwa lifundishwe kua kuna tofauti kati ya makombe ya Uefa/Epl na Makombe ya FA/Emirates na ngao za jamii.
Na supercomputer msimu huu imetabiri Manyumbu mnamaliza nafasi ya 15...kama kuna kaukweli flani hivi
 
BREAKING from

@SamiMokbel81_DM:

Arsenal are in advanced talks with Martin Ødegaard on a contract extension and talks with Ben White will begin.

Xavi yupo but Arteta hayupo?Ange yupo wa spurs pia ?Saka hayupo kwenye best FIFA ?hizi ni tuzo au tuzo za Makalio(sorry to say this)it is unacceptable

Xavi kachukua la liga na barca, Ange kachukua Scottish league na celtic .
Rice yupo pale kutokana na Europa conference league.

Arteta hana kombe lolote anaanza vipi kuwepo hapo? Saka hana kombe lolote anaanza vipi kuwa humo?

Wote waliopo kwenye list ni either wameshinda kombe lolote au alifika Uefa final.

Arteta na mwanao saka hawastahili kuwepo kwenye nomination hawana chochote cha maana ni zero achievement braza.

2nd place and Europa quarter final si sifa za kufanya mchezaji yeyote wa arsenal awepo kwenye list hio ni FIFA best , sasa unaanzaje kuwa best with nothing na haujashiriki fainali yoyote ile.
 
Mtoe kwenye list

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom