Martin Ødegaard anakaribia kusaini mkataba mpya Arsenal Hadi mwaka 2027 + 1yrs
View attachment 2748105
Msameheni bure Lord Maguire alivyomuona Ramsdale akajua ile mechi ya Man Utd vs Arsenal bado inaendelea, hapo Maguire kwa akili yake mpaka anatoka uwanjani anajua kaisaidia Utd kupata goli la 2, ukimuuliza matokeo ya mechi ya jana atakwambia Arsenal 3 - 2 Utd.







As far as KAI hayupo ni SAWA tu hiyo List,Kai ni FURUSHI tu kama FURUSHI la MAPALACHICHIMy Arsenal starting XI for Everton (A)
Ramsdale
White
Saliba
Gabriel
Zinny
Jorginho
Rice
Ødegaard
Saka
Jesus
Martinelli
Fabio deserves a start but this is one of the worst fixtures for it
People might question Jorgi, but Newcastle away showed why he should be there for thisView attachment 2748241
My Arsenal starting XI for Everton (A)
Ramsdale
White
Saliba
Gabriel
Zinny
Jorginho
Rice
Ødegaard
Saka
Jesus
Martinelli
Fabio deserves a start but this is one of the worst fixtures for it
People might question Jorgi, but Newcastle away showed why he should be there for thisView attachment 2748241
Kai ni mzigo kama mizigo mingine tu,acha kumfananisha fundi OZIL na TAKATAKA kama KaiTunaposema Kuna Ozil miguu mwa kai, ni kwamba miaka minne nyuma lilishaongelewa
Chelsea haribu vipaji fc sio reference sahihi
NB
Ukijiona mawazo yako yanasapotiwa na nyumbu au kenge, Basi ushakua msalitiView attachment 2748477
Kai ni mzigo kama mizigo mingine tu,acha kumfananisha fundi OZIL na TAKATAKA kama Kai


Ni kweli mkuuHuu uwanja ni tatizo kubwa kwetuView attachment 2748570
Ni kweli mkuu
Inabidi tukate mazoea, Everton wanajifajya wametuzoea Sana Sasa
Mfano game ya mwisho pale kwao walicheza kwa kiburi Sana kitu ambacho sikupenda hata kidogo
Yani walikua wanapisha na sisi bila uoga
dakika 90 hawaja-pack bus au kupoteza muda
Timu Kama hizi ndio za kupiga goals kuanzia 3, kuweka heshima sawa
Kama alivyofanywa nyumbu
Kweli ,Jamaa wanachuzeaga long balls ,Mpira wa nguvu ,Huu uwanja ni tatizo kubwa kwetuView attachment 2748570
-jorginho-ødegaard
Supercomputer predicts the 2023/24 UEFA Champions League.