hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,290
- 26,694
Vipi huyu anaenda miezi 9 Hana hata goli la offsideHusikii unaambiwa ana mkimbio mzuri.
Unashinda humu unamponda kai
Vipi huyu anaenda miezi 9 Hana hata goli la offsideHusikii unaambiwa ana mkimbio mzuri.
Kai hata apewe miaka 100 ni KIAZI tu hana jipya,hakuna dalili za improvement yoyote kwake,hata huko Timu ya Taifa bado ni KIAZI tu,hana sifa wala kiwango cha kuchezea ArsenalMshaambiwa Kai tumpe muda ata improve taratibu,izo lawama zenu ndo zinamuondolea confidence.
Na akianza kutupia mtaanza kuja na kumsifia hapa.
View attachment 2747272
Wewe tunajua hasira zote zinatokea wapiHamna UEFA na EPL miaka 20 sasa.
Ukinipa Arsenal na andazi, ntachagua andazi
Lakini huyu Southgate ana brain cells kweli huyu. Kwa Magwaya yaani humwambii kitu, labda shemejiye au mwanaupinde mwenzie dah.Ramsdale kapigwa goli Kali na Harry magwaya View attachment 2747529
Ramsdale kapigwa goli Kali na Harry magwaya View attachment 2747529



Msameheni bure Lord Maguire alivyomuona Ramsdale akajua ile mechi ya Man Utd vs Arsenal bado inaendelea, hapo Maguire kwa akili yake mpaka anatoka uwanjani anajua kaisaidia Utd kupata goli la 2, ukimuuliza matokeo ya mechi ya jana atakwambia Arsenal 3 - 2 Utd.Kai ni KIAZI tu,kumfananisha na OZIL ni kumvunjia HESHIMA Ozil,pia kusema eti ana faida zaidi ya Xhaka ni sawa na kufananisha Mbingu na Ardhi,Kai ni mzigo hastahili kuvaa jezi ya Gunners kabisa,yule anapaswa kucheza Nottingham Forest huko. Aendelee kusifiwa sijui ana mikimbio mizuri lakini kiwango ni UHARO tu



kwa hio unataka kubisha kua Kai sio mnyumbulifu na pia sio mzuri kwenye aerial duel?Acha kumfananisha fundi OZIL na TAKATAKA kama Kai aisee,huko ni kumkosea HESHIMA fundi Ozil
Kai ni new OzilAcha kumfananisha fundi OZIL na TAKATAKA kama Kai aisee,huko ni kumkosea HESHIMA fundi Ozil
Hata mtoto wangu wa Nursery akiona mfananisho wa Kai na OZIL atakushangaa sana,Kai ni GARASA kama MAGARASA mengine tuKai ni new Ozil
Itunze hii mkuu
"Nadhani Havertz anaweza kuwa bora zaidi ya hapo kwani ana silika ya kushambulia na atakuwa na umaliziaji mzuri anapoingia kwenye nafasi hizo."Ndugu wanaomponda Sana Kai sio pundit Ni fans tu ,pundit wengi nawasikiliza sky sport ,n.k wanasema huwez kumuhukumu mchezaji kwa mechi 3-4
Lejend wa Arsenal Alan Smith Leo kaongea hivi kuhusu Kai ,
Mchezaji wa zamani wa Arsenal Alan Smith anaamini Kai Havertz anaweza kuwa bora zaidi kwa Arsenal kuliko Granit Xhaka:
“Inaniudhi jinsi watu wako tayari kumkosoa haraka sana.
"Hawa ni wafuasi wa Arsenal na unatarajia kwamba watamuunga mkono katika siku za mwanzo wakati mchezaji mpya anapoingia na anajaribu kutafuta uchezaji wake ".
"Nadhani ni mchezaji mzuri sana kiufundi, nadhani anaweza kuwa mchezaji mzuri kwetu na nilimsikia Arteta akisema Kai anahitaji kujiweka(kushambulia) kwenye box la mwisho , kama Xhaka alivyofanya msimu uliopita. "
"Nadhani Havertz anaweza kuwa bora zaidi ya hapo kwani ana silika ya kushambulia na atakuwa na umaliziaji mzuri anapoingia kwenye nafasi hizo."
KWAHIYO MKUU SIO WOTE WANAOMPONDA KAI View attachment 2746234



huo umaliziaji mzuri sasa wa Kai kiungo ya boli akiwa ndani ya box 


