hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Ndugu wanaomponda Sana Kai sio pundit Ni fans tu ,pundit wengi nawasikiliza sky sport ,n.k wanasema huwez kumuhukumu mchezaji kwa mechi 3-4brother binafsi nakuheshimu sana
ila ifike mahala tuache uwezo wa mchezaji ujitetee uwanjani na sio hizi statistic sijui space sijui duels obviouslly ukiwa mchezaji mzuri utaonekana tu
ukitaka kuamini hilo angalia watu kibao walivyokuwa wanamponda Fabio leo hao hao wanamsifu so they were true fans pale walipokuwa wanamsema alipozingua na they were also true fans leo wanavyomsifu pale anapocheza vizuri that all
Pundit kibao wanakosoa uchezaji wa Kai does it mean hawa wote wanamchukia Kai? Totally No brother Kai has got zero output in the middle of the park that is very clear and it can pain you as a fan of Kai but try to accept it because it what it is that all....
Lets judge what we see on the pitch that football
Lejend wa Arsenal Alan Smith Leo kaongea hivi kuhusu Kai ,
Mchezaji wa zamani wa Arsenal Alan Smith anaamini Kai Havertz anaweza kuwa bora zaidi kwa Arsenal kuliko Granit Xhaka:
“Inaniudhi jinsi watu wako tayari kumkosoa haraka sana.
"Hawa ni wafuasi wa Arsenal na unatarajia kwamba watamuunga mkono katika siku za mwanzo wakati mchezaji mpya anapoingia na anajaribu kutafuta uchezaji wake ".
"Nadhani ni mchezaji mzuri sana kiufundi, nadhani anaweza kuwa mchezaji mzuri kwetu na nilimsikia Arteta akisema Kai anahitaji kujiweka(kushambulia) kwenye box la mwisho , kama Xhaka alivyofanya msimu uliopita. "
"Nadhani Havertz anaweza kuwa bora zaidi ya hapo kwani ana silika ya kushambulia na atakuwa na umaliziaji mzuri anapoingia kwenye nafasi hizo."
KWAHIYO MKUU SIO WOTE WANAOMPONDA KAI
| Arsenal’s 25-man squad (List A) for the UEFA Champions League group stage matches. #afc
@Arsenal’s UCL squad:

