nyapinyapileo
Member
- Oct 19, 2022
- 92
- 215
Acha kumfananisha fundi Ozil na mambo ya kijinga NduguKai apewe muda kidogo, anaenda kuwa shida nyingine pale epl
Narudia tena, namuona Ozil kwenye miguu ya kai

Hawa hawapati goli hata 1Leo nimeota tukishinda 1-3 dhidi ya Everton wiki ijayo.
Katika ndoto yangu nimemuona pia Gabriel Jesus akishangilia kwa kupiga simu [emoji338].
Hii Arsenal itaniua kwa kisukari!
Amekosa timu , ila nimeona January watamuongeza Timber kwenye listNimeshangaa kuona Cedric yupo kwenye squad yetu
Mkuu punguza vitisho,huu mpira ni wetu sote na ifike mahali tupendane mkuu.kwa mfano unataka sisi vijana wa erick 7hag tusiwe tunakuja humu au[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]?.Leo nimeota tukishinda 1-3 dhidi ya Everton wiki ijayo.
Katika ndoto yangu nimemuona pia Gabriel Jesus akishangilia kwa kupiga simu [emoji338].
Hii Arsenal itaniua kwa kisukari!
Manjesta watani zangu, tatizo wanapanik SanaMkuu punguza vitisho,huu mpira ni wetu sote na ifike mahali tupendane mkuu.kwa mfano unataka sisi vijana wa erick 7hag tusiwe tunakuja humu au[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]?.
Mnakera bwana yaani mnasababisha mimi na Flano tunaishi kwa mashaka kweli.sasa ndiyo nini mlichotufanyia kwenye mechi yetu kama sio dharau yaani mnatupiga 3 na bado trossard na rowe hawakuingia na kwa timu yetu hao wawili wanaanza panga pangua.kwamza tumefurahi kinoma kuumia timber maana ule nao ni mkosi mwingine,jamaa anachota kushoto na anamwaga kulia kama prime DAN ALVES wa barcelona.
Kuna huyu jamaa wakujiita @hamiss77 namuombea apoteze techno yake ili asiingie jukwaani kwetu maana kila anachokisema kuhusu man u kinatokea hivyohivyo.mshenzi amekuwa NABII WA MAJANGA nikimkuta ICU nachomoa mpira wa oxygen [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35].
Narudia mkuu tuheshimiane sana na uache vitisho
[emoji1][emoji1][emoji1]Mkuu punguza vitisho,huu mpira ni wetu sote na ifike mahali tupendane mkuu.kwa mfano unataka sisi vijana wa erick 7hag tusiwe tunakuja humu au[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]?.
Mnakera bwana yaani mnasababisha mimi na Flano tunaishi kwa mashaka kweli.sasa ndiyo nini mlichotufanyia kwenye mechi yetu kama sio dharau yaani mnatupiga 3 na bado trossard na rowe hawakuingia na kwa timu yetu hao wawili wanaanza panga pangua.kwamza tumefurahi kinoma kuumia timber maana ule nao ni mkosi mwingine,jamaa anachota kushoto na anamwaga kulia kama prime DAN ALVES wa barcelona.
Kuna huyu jamaa wakujiita @hamiss77 namuombea apoteze techno yake ili asiingie jukwaani kwetu maana kila anachokisema kuhusu man u kinatokea hivyohivyo.mshenzi amekuwa NABII WA MAJANGA nikimkuta ICU nachomoa mpira wa oxygen [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35].
Narudia mkuu tuheshimiane sana na uache vitisho
Husikii unaambiwa ana mkimbio mzuri.Kai ni mzigo kama furushi la maparachichi, anabebwa na ARTETA tu
[emoji16][emoji16][emoji16]Husikii unaambiwa ana mkimbio mzuri.
Vipi huyu anaenda miezi 9 Hana hata goli la offsideHusikii unaambiwa ana mkimbio mzuri.