Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,497
- 2,219
Matakataka kama matakataka (Ollachuga) kakimbia kabisa.Nawasihi musiache kumpokea Ollachuga kama Mshabiki mpya wa Arsenal
Matakataka kama matakataka (Ollachuga) kakimbia kabisa.Nawasihi musiache kumpokea Ollachuga kama Mshabiki mpya wa Arsenal
Amesema anahamia NewcastleNawasihi musiache kumpokea Ollachuga kama Mshabiki mpya wa Arsenal
Abaki hukohuko kwa tajiri miluzi....Kila mtu abaki kwny matatizo yake....Nawasihi musiache kumpokea Ollachuga kama Mshabiki mpya wa Arsenal
Arsenal this summer:
Ins:
Declan Rice - £105M
Kai Havertz - £65M
Jurrien Timber - £38M
David Raya - Loan
Out:
Folarin Balogun - £40M
Granit Xhaka - £21.5M
Matt Turner - £7M
Auston Trusty - £4.9M
Pablo Mari - £3.7M
Rob Holding - £4M
Albert Sambi Lokonga - Loan
Kieran Tierney - Loan
Nuno Tavares - Loan
Marquinhos - Loan
Ainsley Maitland-Niles - Released
Kusema rice tumepigwa ni uhuni wa kumpeleka mtu motoni, ila kai ni ukweli unaoweza kukupeleka peponi🤣Rice kawanyamazisha wale wale walikua wanasema tumepigwa kwa bei ile yan Nyumbu ndo msaraba umewakuta tena msumari kapigilia Rice uyo uyo dadekiii
Huyu kipara makulega sijui aliwaza nini kusema vile, hali ya kuwa timu yake ina matatip kadhaa.
7/10 kama kai akifanya vizuri itapanda mpaka 8.5/10Arsenal this summer:
Ins:
Declan Rice - £105M
Kai Havertz - £65M
Jurrien Timber - £38M
David Raya - Loan
Out:
Folarin Balogun - £40M
Granit Xhaka - £21.5M
Matt Turner - £7M
Auston Trusty - £4.9M
Pablo Mari - £3.7M
Rob Holding - £4M
Albert Sambi Lokonga - Loan
Kieran Tierney - Loan
Nuno Tavares - Loan
Marquinhos - Loan
Ainsley Maitland-Niles - Released
Rate their transfer window out of 10?![]()
Newcastle ni kisingizio tu lakini yule anaimezea mate ArsenalAmesema anahamia Newcastle




Hana lolote yule,hana kiwango cha kuchezea ArsenalWatu wanamcukulia poa Havertz. Sawa, alipiga pasi ya kizembe na kivivu ikawa intercepted tukapigwa counter tukafungwa. Lakini hapo hapo akarekebisha na kusaidia kupata goli la kusawazisha...kwa kujiondoa, kubaki nyuma na kutojihusisha na move iliyopelekea goli letu la kusawazisha.
Sometimes mashabiki tungaalia mpira kwa jicho la kishabiki sana. Kuna mashabiki wa Arsenal waliisifia sana Man U eti wamepiga sana mpira.Nipo naangalia DSTV SS3 program ni Generation xG wana analyse game ya Jana kwenye touches in opposition box tumewazidi mno Manchester United sikutegemea jambo kama hili Big up Mspanish Arteta
Kwa level ya mpira walocheza kwa wiki tatu nyuma wanastahili kupongezwa kwa kugusagusa kidogo siku ileSometimes mashabiki tungaalia mpira kwa jicho la kishabiki sana. Kuna mashabiki wa Arsenal waliisifia sana Man U eti wamepiga sana mpira.
Mkuu mm ni mmoja wapo sikuwahi kumuelewa Declan Rice pale Westham"Declan Rice ni mvunja kuni tu, hana uwezo wa kukupa anachokupa Partey", hizo mada sizisikii tena toka kwa Tacticos wetu wa JF, haahaahaa, nacheka kwa dharau.
Yote yote ni sawa tu, kila goli n utamu wake pale.
Jesus ni mtu na nusu, ni top class player.
Napenda upambanaji wake, ana force kuingia kwenye box, boli limekaa mguuni, mnyumbulifu.. si finisher mzuri saaaana ila kwa hayo mengine kwa strikers waliobaki duniani pengine yeye ni bora zaidi.
Jesus unamuonea mkuu...kile ni kitu kingine kbisa...sio Clinical finisher lakini ni mtu ambaye akiwepo pale mbele anakupa kitu tofauti sana...hata Martinelli form yake ya mwaka jana ukiangalia ni kwa sababu ya uwepo wa yule Jesus.....tukirudi International break utaona nachokuelezea hapaHamna mchezaji pale.
Juhudi bila akili (kipaji) ni mateso kwa mwili.
Jesus anavuja jasho sana uwanjani lakini output ni zero.
Goli la jana lisifanye tusahau ubovu wake .
Mchezaji mzuri (akili) ata sku piga pasi utaona tu huyu ni classic player.
Angalia movements na accuracy za saka, odegard, martineli , patey na zincheko Halafu angalia kwa Jesus na havertz ni tofauti sana.
Naheshimu maoni yako mkuu ila kwangu naona hivi.