zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 22,909
- 36,844
Hivi anachoforce kwa Kai ni kipi? Hakuna siku nmetamani majeraha kama Kai ayapate Ili awekwe benchi mazima. Haiwezekani Kila akitolewa ndio timu inatamkaImportant ni 3 points but kimchezo bado kuna sehemu hatupo sawa (uwepo wa Havertz unasababisha hili)thanks kwa late goals
Chelsea walisubiri hili kwa miaka zaidi ya 3!! Havertz is trash Kila mtu anajua Hilo ila sijui Arteta anacholazimisha ni Nini?Meneja ana imani na Harvetz na atakuwa acheza kila mechi ili kufit in katika mfumo wa uchezaji wa Arsenal.
Arteta sote twafahamu amekuwa akifanya experiments ambazo hazina msingi.Chelsea walisubiri hili kwa miaka zaidi ya 3!! Havertz is trash Kila mtu anajua Hilo ila sijui Arteta anacholazimisha ni Nini?
Tena tushukuru Tomas kutumia, lazima angeanza kama Full back!! Tungefungwa kwa counter za Man UTD
Ujuaji wa Arteta umetu cost msimu huu tunaikosa ligi kijinga sana.
Ajifunze kutokea benchi au Carabao sio experiments kwenye mechi serious namna hii. Huyu atatucostHavertz atakiwa sasa akazanie kujifunza kutopoteza mipira sana na pia kutokuwa slow kwenye kulink mchezo.
Hapo kwny offside mkuu umeteleza....it was clear offside....Malgalhaes alicheza offside trap nzuri sana ukiangalia review...halafu kocha wenu aache ujinga vngnevyo ataipoteza dressing room....mchezaji unamalizana private sio kuja kumchana kwny media kama anavyofanya Baba ubayaRashidi ni fala sana yule mtu, ana uchoyo na ubinafsi sijapata kuona, yupo tayari apoteze mpira kwa kutaka kulazimisha kufunga kuliko kutoa assist.
Mimi ningekua ni kocha ningempigisha marufuku kufunga hata kama yupo peke yake tu na kipa, na akikaidi kila akifunga anakatwa mshahara, ningempa majukumu ya kutoa assits tu mpaka pale atakapoacha uchoyo wake.
Ila lile goli la Garnacho inaonyesha wazi kabisa leo wote waliokua kwenye chumba cha VAR waliibetia Arsenyo.
Kwa hilo suala la Sancho kama haya marumbano ni kweli yanaendelea yataleta athari kubwa sana kwenye dressing room.Hapo kwny offside mkuu umeteleza....it was clear offside....Malgalhaes alicheza offside trap nzuri sana ukiangalia review...halafu kocha wenu aache ujinga vngnevyo ataipoteza dressing room....mchezaji unamalizana private sio kuja kumchana kwny media kama anavyofanya Baba ubaya
Dah leo Ume ongea kwa uchungu mwana man it's🤣😂😂Maguire 10Hag ni anakosea kumchezesha kwenye nafasi si yake, Maguire anafaa zaidi akicheza CF, yaani akisimama pale mbele ni Haaland Mtupu.
Umeanza kuwa mpiga ramli braza...kwni mna point ngapi mpk Sasa mkuu...narudia tena kukukumbusha...nyny msimu huu mnarudi nafasi zenu za siku zte....saba huko kishuka chini....nyny ni watoto wadogo sana bdo
Nimekuuliza una point ngapi mpk sasaSio ramli ni hali halisi wewe tunakuita false hoper na wenzako wote kutokana na wins kama hizi , kama hapa mlivyo after hii game mna matumaini makubwa sana ila acha ifike maykila moja atasema sababu yake mara phase 2 mara kaumia fulani au kumuangushia na kumfanya rob holding scapegoat.
Sisi tuna alama 3kaa kwa kutulia utaona may hapa nan anacheka na nan analia., nyinyi kupewa hope ambayo ni false hope hamjaanza leo kuna matukio mengi kama nelson mwaka jana, welbeck 2016 vs Leicester city , man utd last season na mengine mengi .
ØdegaardKatika magoli ya leo, lipi ni goli zuri zaidi.
Odegard
Rice
Jesus
Una mchezaji gan zaidi ya RashfordRashidi ni fala sana yule mtu, ana uchoyo na ubinafsi sijapata kuona, yupo tayari apoteze mpira kwa kutaka kulazimisha kufunga kuliko kutoa assist.
Mimi ningekua ni kocha ningempigisha marufuku kufunga hata kama yupo peke yake tu na kipa, na akikaidi kila akifunga anakatwa mshahara, ningempa majukumu ya kutoa assits tu mpaka pale atakapoacha uchoyo wake.
Ila lile goli la Garnacho inaonyesha wazi kabisa leo wote waliokua kwenye chumba cha VAR waliibetia Arsenyo.
Kai kakosa goli Kama Saka alivyokosaKai ni kiungo wa boli mzuri kwenye aerial duel na pia ni mnyumbulifu.
Mechi ya leo nimefurahia sana uwepo wa Kai la sivyo habari ingekua nyingine.
Sasa hivi mashabiki wa timu pinzani wanamfurahia Kai kama vile anavyofurahiwa Maguire.
Nakunga mkono, Lile ni shambuliaji la mpira,Maguire 10Hag ni anakosea kumchezesha kwenye nafasi si yake, Maguire anafaa zaidi akicheza CF, yaani akisimama pale mbele ni Haaland Mtupu.
Ila hakuwa na baya..😂