Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Bado sijaiona arsenal ya NDOO
tunacheza average sana
Eti Nketiah kaanza !au Arteta alirusha jezi watakaowahi ndio first eleven?Jesus, trossad, Fabio, rowe, nelson
Wote wanasubiri sub hao na wote wapo vizuri
White anatatizo linalotak kufanana na kai yaan hajitoi kwa aslimia zote anatabia ya kukaba huku anarudi nyuma....timber akirejea atajutaWhite is another Kai today
Tumecheza chini ya kiwango SanaEti Nketiah kaanza !au Arteta alirusha jezi watakaowahi ndio first eleven?
Huwezi kuengage kwa watu wanategemea kauntaWhite anatatizo linalotak kufanana na kai yaan hajitoi kwa aslimia zote anatabia ya kukaba huku anarudi nyuma....timber akirejea atajuta
Huyu Kai sasa anafanya sifa