Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
Anashindwa kujipakulia minyama pale
Huyu Kai sasa anafanya sifa
Huyu Kai sasa anafanya sifa
Nketia abaki Jesus hamna mfungaji hapo.Hapo ni harvertz out Trossard in .... nketia out jesus in
Huyu Kai sasa anafanya sifa

Subiri baada ya mechi mchambuzi nguli Jf hamis77 akuletee uchambuzi kuhusu incredible contribution ya Kai Havert ,huwezi kuona mchango wake kama hauna jicho la kichambuzi.




Mchambuzi NGULISubiri baada ya mechi mchambuzi nguli Jf hamis77 akuletee uchambuzi kuhusu incredible contribution ya Kai Havert ,huwezi kuona mchango wake kama hauna jicho la kichambuzi.

Nchi ngumu sana hiiMchawi HavetzTumecheza kawaida sana bado hatujawa na offensive ya kushinda
kwa wachezaji wote, ukiwa unacheza under pressure ndo unafanya makosa kama hayoKai kwa chance aliyokosa inaelekea hayupo sawa kisaikolojia ,makosa kizembe sana kama hayupo uwanjani.
Arteta ana kibri sana.Wazee ivi arteta haoni timu haichezi vizuri
Kai yuko under pressure kwani nini analazimisha aisee
Mapungufu ni mengi ila kikubwa tushinde kwanza leo
Rice ana intercept sana amecheza vzuri sanaMmh mechi kama hizi unahitaji nidhamu sana.
Kwangu mimi kai na hata rice bado kuna kitu walitakiwa wajifunze wakiwa nje na wawe wanaingia taratibu.
Jesus na trossard wakiingia watatupa nguvu zaidi ya kushambulia,vieira ataleta akili kwenye game.
Joginho?