arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Ongea vya mwsho mwsho...kesho ukishinda niulizwe mm...Hamna timu...mna kikundi cha wakimbiajiKuumia kwa Chapartey sijapenda kwa kweli, kipigo cha kesho mtakua mmepata tayari sababu ya kujitetea, msimu ulioisha baada ya kuwagonga 3-1 mlisingizia kutokuwepo kwa chapartey ndio sababu ya kufungwa.
Kabla ya ligi kuanza mlikua mnajitapa humu kua msimu huu mna kikosi kipana hivyo tunategemea kipigo chenu kesho hamtasingizia kuumia kwa Partey. View attachment 2737013
Hivi mkuu kwanini tulimsajili Kai sioni a anachoongeza kwenye timu. Hiyo £65 Million Bora tungesajili RCB au sub ya Saka kuliko huu utumboTumefanya usajili wa Kai, tangu Kai yupo Chelsea nilikua nasema hana finishing yeye na wenzake lakini shabiki mwingine anakopi article inayoelezea pros za Kai kuja Arsenal na anaamini ni itawork out hivyo tu bila kuangalia factors zingine
Hatuna depth akumia tu Saliba au white msimu ndio umeishia hapoHahaa kuna sauti inaniambia huu mwaka wachezaji wetu wakipata proper psychological treatment basi kuna kitu tunaweza fanya
FDJ, the most offensive center-back. Huyu jamaa nilichinja kuku dili la kwenda Unyumbuni lilivyobuma. CB yake ni ya kipekee sana.At the moment huyo mtu ni MARTIN ODEGARD
Huyo ndio anapelekewa mipira muda wote, yeye ndio anafanya turns zake na kutafuta penetration
Ode na Veira
Hawa ndio wenye quality hiyo
Ili acheze Kai, partey au rice mmoja aanzie bench, na sio odegard
Kiuongo kikwa na partey, rice, Kai
Hapo odegard yupo bench tutarukaruka tu, na kutafuta magoli ya papatu papatu
Kama unaingia sokoni, kutafuta quality katika hauo majukumu, yupo Frank dejong pale Barca kumtoa ndio inshu
Mbona Tunawachapa bila ya partey, kaa kwa kutuliaKuumia kwa Chapartey sijapenda kwa kweli, kipigo cha kesho mtakua mmepata tayari sababu ya kujitetea, msimu ulioisha baada ya kuwagonga 3-1 mlisingizia kutokuwepo kwa chapartey ndio sababu ya kufungwa.
Kabla ya ligi kuanza mlikua mnajitapa humu kua msimu huu mna kikosi kipana hivyo tunategemea kipigo chenu kesho hamtasingizia kuumia kwa Partey. View attachment 2737013
Mara atuletee na takwimu zake za hapa na pale🤠🤠🤠....basi ilimradi tu vurugu nyiiiingiiiiUnakuta amekomaa kutaja majina ya wachezaj wake Average utazani ndo galacticos wa enzi zile za kina Beckham,Zidane,Carlos,Ronaldo wale tuliowambwaga Shanga UEFA kwa bao la TH14, ndo kina willson, almiron hao
Charles watts kasema siyo kweliKama kweli partey kapata injury, nadiriki kusema ni muda sahihi wa kutuachia timu yetu
Kai ulikua usajili wengi tumeshtukia amefika.Hivi mkuu kwanini tulimsajili Kai sioni a anachoongeza kwenye timu. Hiyo £65 Million Bora tungesajili RCB au sub ya Saka kuliko huu utumbo
Unazingua ... kai akianza siyo lazima partey acheze RB.. Uliicheki game na cityUwe unaelewa.
Ili Rice na Kai wapangwe inabidi Partey awe RB na White awe CB na Gabriel awe benchi.
DM kucheza beki ni jambo la kawaida mno kama ndiyo kwanza unaona kwa Arteta basi subiri
Hauwezi kunielewa chief. Endelea na maisha mengineUnazingua ... kai akianza siyo lazima partey acheze RB.. Uliicheki game na city
Flano Yuko wapi aje kumjaza ujinga jamaa yake
Lugha gani tena hizi wazeeKwahiyo Arteta kwenye press conference zake akisema " hamis77 nataka nikugonge" na wewe unakubali?
Kuna ushabiki wa mpira halafu kuna mipasho. Wa kiume hatakiwi kuwa na mipasho, hasa ukiwa mshabiki wa Arsenal.
Punguza mipasho mtoto wa kiume maana nikikuambia uache kwa haraka haraka kwa kuwa ni tabia yako hutoweza.
Unatupa sifa mbaya wana Gunners.
Tatizo kila kitu kinachozungumzwa mnafata mkumboHauwezi kunielewa chief. Endelea na maisha mengine
Hakuna ukweli sana juu ya hili. Jamaa alikuwepo jana na leo mazoezini.Partey Kuna tetes Ni injury
Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka
Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu
Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4
Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa
Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani
Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Nimetumia huo mfano ili aelewe ninachomaanisha.Lugha gani tena hizi wazee
tumia lugha ya mpira .....
Labyrinth 84 team yako niaje?ndio one season wonder au