Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel akiwajibu wapiga kelele kuhusu formation

Arteta says there were 36 different formations in the match against Fulham.

[@JamesOlley]
 
Arteta on if he will switch to a back 4 against United:

“Well I played different against City. There were 43 defensive structures.”

“Every game is a different story”
 
Sasa ww una nini mkuu....mbona unazungukazunguka sana....nimekuuliza ww umeshinda ubingwa wa ligi mara ngapi tangu mpira uanze kuchezwa Pale Uingereza...halafu ww mara ya mwsho kucheza UEFA ni lini...na ulifika wpi....jibu hyo maswali ndo tuendelee...mi nimeshawahi kucheza fainali ya UEFA na Europa zte nikafungwa....ww tangu klabu imeumbwa umewahi kucheza fainali ya UEFA au Europa

Mimi sina chochote na wewe huna chochote utofauti tu wewe umeshiriki zaidi ya miaka 20 hakuna ulichokipata tofauti na mimi ambaye nipo mwanzo wa kukitafuta na kukipata.

Akili ya losers siku zote ni kushindwa yaani unafurahia kucheza fainali zote ukafungwa.
Kuna ile movie yenu yenyewe inaonyeshwa jinsi mlivyo “ALL OR NOTHING “ kati ya hivyo viwili mlipata kipi kama sio NOTHING
 
Kwhyo kipindi chte hupati nafasi ya kushiriki ulikuwa unacheza ligi ya mchangani au hiihii ligi kuu 🤠🤠🤠...eti ndo mara ya kwanza nashiriki😅😅😅...ndo maana nasema ww bdo mtoto mdogo...lini Arsenal alikuwa anatoa hela za maana kununua wachezaji kama sio misimu kama miwili nyuma ndo tumeanza kuona hyo ambition....kipindi cha Wenger sisi na nyny hakukuwa na tofauti maana tulikuwa na vikosi vinavyofanana ila na violkombe vya chai tukashinda....narudia tena...kiuhalisia hmu wa kutuvimbia ni Manyumbu..machelkenge na livakuku ila sio ww Nyukesto...bdo mtoto mdogo sana....wafundishe kina Almironi mpira kwanza ndo uje kupiga kelele hmu🤠🤠🤠
 
Bukayo Saka ametaja goli dhidi ya nyumbu msimu uliopita ni bao analopenda zaidi alilofunga wakati wa uchezaji wake hadi sasa.

Mechi Inayofuata Ni vs manjesta
20230901_164915.jpg
 
Kwhyo kipindi chte hupati nafasi ya kushiriki ulikuwa unacheza ligi ya mchangani au hiihii ligi kuu ...eti ndo mara ya kwanza nashiriki...ndo maana nasema ww bdo mtoto mdogo...lini Arsenal alikuwa anatoa hela za maana kununua wachezaji kama sio misimu kama miwili nyuma ndo tumeanza kuona hyo ambition....kipindi cha Wenger sisi na nyny hakukuwa na tofauti maana tulikuwa na vikosi vinavyofanana ila na violkombe vya chai tukashinda....narudia tena...kiuhalisia hmu wa kutuvimbia ni Manyumbu..machelkenge na livakuku ila sio ww Nyukesto...bdo mtoto mdogo sana....wafundishe kina Almironi mpira kwanza ndo uje kupiga kelele hmu

Hatukuwa na backup ya pesa kama nyinyi wala ambition za ubingwa hazikuwepo kutokana na uchumi wa club. Uzuri unakubali kwamba hatuna tofauti kwenye champions league japo mmeshiriki mara nyingi zaidi.
Almron amesajiliwa kwa pesa ya kawaida tu na mpira anaopiga ni mkubwa kuliko Nketiah + viera+ kai ukibisha tukuletee stats hapa kama kawaida ukimbie .

Arsenal wengi timu imewafanya mchanganyikiwe ndo maana Nketiah bado mnamuona dogo janja et young player sasa kina gordon watakuwa kina nani?

Gordon , Tonali, isak ,botman, nunez, szoboszlai, foden wote hawa wote ni wadogo kwa nkentiah lakini huwezi kukuta wanachukulia kama young players kwenye clubs zao sababu ya win mentality iliyopo kwenye hizo clubs nyinyi sasa yaani mnamchukulia jitu zima Nketiah kama vile ndo gordon au palmer.
Mnatiana ujinga eti ana finishing nzuri uwe na finishing nzuri umalize msimu na goals 6 si vituko ivi mnaleta
 
DJ waletee

White Ødegaard Saka

Huu upande wa kulia una goli 3 zitazalishwa ,

Mark my word
20230901_170638.jpg
 
Crystal Palace confirm they have agreed a fee with Arsenal for Rob Holding in region of 4m

@TeleFootball #Arsenal #CPFC
 
Mikel Arteta jinsi alivyo na furaha na kiwango cha Arsenal msimu huu:

"Nimefurahi sana, nilisema dhidi ya Fulham, na nimetazama mchezo mara mbili, tulicheza mara kumi bora, sita au kumi, lakini kwa hakika tulicheza vizuri zaidi, lakini yote ni matokeo."

"Jambo moja ni kucheza vizuri sana, jambo lingine ni kushindana vizuri na kile ambacho hatukufanya wakati tulilazimika kushindana katika nyakati fulani, ni njia bora zaidi ya kufanya hivyo. Tulicheza vizuri zaidi mara kumi, ninakuhakikishia hilo tena."
 
Mikel Arteta ikiwa atashawishika kutumia timu sawa na msimu uliopita:

"Itakuwa tofauti kwa sababu ni msimu tofauti na huo ndio uzuri wa kitu ambacho ninakifurahia zaidi, kwamba ni kipya na tunaweza kufanya mengi, bora zaidi kwenye mambo mengi." [Arsenal]

"Siwezi kufanya hivyo (kutumia timu moja), ninawasikiliza tofauti. Zinchenko alikuwa majeruhi, Granit hayupo, kwa hivyo ninaweza kufanya hivyo? Isipokuwa niwarejeshe. Sidhani kama itafanyika."
 
Hatukuwa na backup ya pesa kama nyinyi wala ambition za ubingwa hazikuwepo kutokana na uchumi wa club. Uzuri unakubali kwamba hatuna tofauti kwenye champions league japo mmeshiriki mara nyingi zaidi.
Almron amesajiliwa kwa pesa ya kawaida tu na mpira anaopiga ni mkubwa kuliko Nketiah + viera+ kai ukibisha tukuletee stats hapa kama kawaida ukimbie .

Arsenal wengi timu imewafanya mchanganyikiwe ndo maana Nketiah bado mnamuona dogo janja et young player sasa kina gordon watakuwa kina nani?

Gordon , Tonali, isak ,botman, nunez, szoboszlai, foden wote hawa wote ni wadogo kwa nkentiah lakini huwezi kukuta wanachukulia kama young players kwenye clubs zao sababu ya win mentality iliyopo kwenye hizo clubs nyinyi sasa yaani mnamchukulia jitu zima Nketiah kama vile ndo gordon au palmer.
Mnatiana ujinga eti ana finishing nzuri uwe na finishing nzuri umalize msimu na goals 6 si vituko ivi mnaleta
Ko arsenal alikuwa na back up ya pesa🤠🤠🤠...huwa unafatilia kwa ukaribu madirisha ya usajili kuona jinsi mashabiki wa Arsenal Dunia nzima walivyokuwa wanalalama namna klabu ilivyokuwa haitoi pesa kusajili kipindi kile...halafu unazungumzia Nketiah🤠🤠🤠....mechi ngapi ametupa points 3 hyu dogo....unapozungumzia ukubwa wa mchezaji unazungumzia nafasi anazopewa kwny timu au aina ya timu anayochezea🤠🤠🤠....umecheza mechi 3 mpk Sasa na una point 3 mkuu🤠🤠....nilikuambia ww bdo ni WA kawaida sana bwana mdgo na hiko kikundi chako cha mdundiko....utakuja kunielewa vzuri mpk tukifika January uone ulipo....hiyo nafasi mloshika mwaka jana ndo mwanzo na mwsho...utawapisha kina Liver...Chelkenge na Manyumbu...ww utarudi mtaa wa saba huko😅😅....maana ndo level zenu hzo...wafundishe mpira vzuri kina Gordon na Almiron ndo uje kubishana hmu ndani
 
Niliwahi uliza humu wanao questions tactics za Mikel ,je mmewahi fundisha hata timu za kanisa au msikiti?

Je mnajua Kuna structure 43 za defensive ?

Arteta on if he will switch to a back 4 against United:

“Well I played different against City. There were 43 defensive structures.”

“Every game is a different story” #afc
20230830_193207.jpg
 
View attachment 2735782
Comparison btn dogo janja garnacho vs best finisher wa arsenal .
Garnacho age 19 vs Nketiah 24
Minutes palyed 560 vs 1070 minutes
Match started 5 Vs 9 match stared
Subbed on 14. Vs subbed on 21
Subb off 7. Vs subb off 1
Ww leta stats zte hmu ndani🤠🤠🤠...ila sisi hatutegemei mtu mmoja kufunga mkuu....kaangalie kwny ligi Tano Bora duniani Arsenal ilifunga magoli mangapi kwa ujumla na ilikuwa ya ngapi miongoni mwa timu zilizofunga magoli mengi ndo utaelewa🤠🤠🤠....kama kuna timu zaidi ya Man City na Dortmund zilizotupita kwny hlo basi itakuwa maajabu sana😅😅😅....nyny bdo ni wadogo sana....ngoja tukutane hlfu tuwaoneshe kwmba nyny bdo ni watoto wadogo sana
 
TRANSFER

Rob Holding to Palace - "Here we go"

Player already undergoing medical ahead of 4m pound permanent switch

(@FabrizioRomano )
 
Mikel Arteta on the role Emile Smith Rowe will play this season:

"The same role as everybody else. To try to give his best, to try to make the team better." #AFC
 
Mikel Arteta kuhusu O. Zinchenko:

"Ni mchezaji muhimu sana, lakini pia Jurrien. Alichokuwa akitupa katika michezo hiyo michache ya kwanza kilikuwa cha ajabu.

Lakini hayupo, kwa hivyo lazima tufanye kitu kingine." "Na ikiwa tutapata jeraha lingine, lazima tufanye kitu kingine. Na ikiwa Bukayo hayupo, tutakuwa na kitu kingine.

(Arsenal)
 
Former Man City defender Joleon Lescott on #Arsenal's Champions League draw:

“I think they’ll be confident of topping that group and going through. I’m confident in Arsenal winning that group to be honest…there’s not many challenges there. Again, variation in challenges, styles and atmospheres, but the way Arsenal have been playing I’d expect them to win that.”
 
Back
Top Bottom