computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Umezionea wapi fixtures za championsHakuna mechi ngumu mkuu
Sevilla kwanza kaondokewa na key players
Sasa hivi anaburuza mkia Laliga
Pili Sevilla hajawahi kuwa ngumu kwa Arsenal
Tusipochukua points 6 niulizwe Mimi
Kwasasa tuwaze round 16
Halafu ratiba yetu nzuri mechi za home UCL zinafata na mechi za home za EPL , so nadhan tutakuwa timu yakwanza kufuzu
league?



Arteta due to speak in press conference in 20 minutes. We will know shortly about what’s to happen in the next couple of hours.
