Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wabaki na mzigo wao....Ize tu....
 
Nimeshikilia maana mmezid unafiki

Kai mechi 3 tu mnaleta chuki

Na ataendelea kucheza ili mkasirike zaidi

Uzuri Arsenal haisikilizagi makelele ya mashabiki uchwara historia ipo hivo
 
2022/23
2023/24

goals
expected goals
goals conceded
expected goals against
shots faced
possession
touches in opponents box
distance covered
sprints

How Arsenal’s start to the Premier League compares to last season.
 
Huna timu ya kupiga hata pass 5 kwa usahihi

Beki magwaya


Jumapili kipigo kinawahusu
Babu Evans yupo😀😀 nyie jpili kichapo kipo pale pale.

Kama nawaona Bruno na Rash wanavyofurahia kuona kiungo la boli Kai likianza na Partey kwenye RB ni mwendo wa kaunta kamba 😀
 
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
 
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
Ndo maana tumesema hatutaki....wabaki na Mudi wao
 
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
Kuna mashabiki wa ukengeni wanakwambia mudiriki anajua

Smith Rowe Ni mchezaji wa €100m
 
Babu Evans yupo
nyie jpili kichapo kipo pale pale.

Kama nawaona Bruno na Rash wanavyofurahia kuona kiungo la boli Kai likianza na Partey kwenye RB ni mwendo wa kaunta kamba
Bado huna timu ya kustahimili msako pale Emirates

Hata Fulham ni sababu Wana kipa anayefanya Sana save
 
Emile ana finishing nzuri na ball striking nzuri kumzidi Mudryk, Sterling, Kai, Nkunku, Noni, Jackson, Chukwuemeka na forwards zote za chelsea.

Usiwaone kenge wajinga kutaka kumuachia Mudi
Yeah ni kweli, Kuna kipindi Smith alikua supersub
Kila akiingia Kama sio goal Basi asist

Vipi Kenge wakiweka £100 plus mudryk mezani?
 
Ila Fabio now namuona mtu sana... mechi na city na mechi na fulham kaumwaga sana .
 
Ndio mana nikwambia uwe unachuja habar, we unajiona unaakili kubwa kumbe tunakuona mwehu tu. Jifunze kuchuja habari au unahis hili jukwaa wanaingia makondoo peke yake.
 
Ndio mana nikwambia uwe unachuja habar, we unajiona unaakili kubwa kumbe tunakuona mwehu tu. Jifunje kuchuja habari au unahis hili jukwaa wanaingia makondoo peke yake.
Mimi Nina vyanzo vya habari zaidi ya 100 ,na vipo grouped kuanzia Tier 1 had4

Nimekuuliza swali hujibu, habari ya Kenge kumtaka Smith kwa swap ya mudrky inapatikana vyanzo gan ili nikuhoji Kama hivo vyanzo ni udaku au lah

Kenge mlimtaka balogun nayo unabisha hata kenge wenzako walipost kule kwenu

Na Sasa nakupa mpya baada ya Arteta kugoma kumuuza Smith mehamia kwa Cole Palmer wa city
 
Ila Fabio now namuona mtu sana... mechi na city na mechi na fulham kaumwaga sana .
Soon anaingia first eleven

Arsenal ya Sasa inasajili talent then zinapikwa

Fabio Vieira kwasasa inabidi aanze alongside Øde

But itabid Partey au Rice mmoja aanzie bench

Inabidi Rice aanze kuzoea taratibu kukamata dimba ,Partey Hana maisha marefu
 
Yan huyu dogo kama namuona Benardo kwa mbali. Ameanza kunifurahisha mpaka najiuliza kwa nini aanzi.
 
Nachokiona kwa sasa . Arteta ni mtu mwenye akili sana.Hivi kwa akili zako timamu ushawahi kujiuliza kwa nini Gabriel hajaanza mechi tatu za mwanzo. Je unafikiri itakuwa hvyo hadi mwisho wa msimu. Unahisi kwa nini mechi na City Partey , Rice na Ode walicheza pamoja . Kama upo timamu utaamini kabisa hii ndo Formation yetu ya kwanza Msimu huu. Lakini je kila mechi utaingia hivi Baadae kuna timu Zitakupasua tu Baada ya kuelewa jinsi ya kukuzuia. Arteta kaamua kuja na mbinu kwamba kila mchezaji ajue kwamba anauwezo wa kukosa namba akileta masikhara . Na atafanyaje kama plan yake A itakapofeli . Kai hajasajiliwa kama M badala wa Xhaka . Jaribuni kuliona hilo ila arteta anataka kumfanya awe na uwezo wa kutumika nafasi zaidi ya moja. Ili kuleta ushindani na kuweza kutumika mda wowote mbinu zinapobadilika . Hujiulizi kwa Nini ushawahi kumuona Fabio akicheza kwa Saka.
 
Arteta hana akili kihivyo,acha kumpa sifa asizostahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…