Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maybe Arteta anapokosea ni kumuingiza moja kwa moja kwenye mfumo huyu Kai
Kwa Kai tunahitaji kuwa na subira, tutapata kilicho Bora

Kutokana na majerui, inverted MD ilibidi partey achukue hiyo position
Sasa Zin karudi
Kuhusu false namba 9 au namba 9. Sasa Nketiah na Jesus wapo

Mbadala wa xhaka acheze Kai / Rice
Partey acheze pivoted MD 6

After all tuheshimu taaluma za watu. Kuna kitu Arteta kakiona kwa Kai ambacho wengi hatujakiona
Kama ilivyokua kwa odegard na huyu Fabio ambae Jana naweza kusema ndio man of the match
 
“This could be another Ozil.
Havertz is another luxury player we don’t need.”
“He’s trying to be a baby Pep! He needs to stop now or the title challenge is off.
”This Arsenal fan is concerned about Arteta’s new tactical set up
-TalkSports
 
Mido fundi, zeee la ku press na ku overload
tapatalk_1693138012111.jpeg
 
kitu ninachokiona kai harvertz sio mbaya ila hatakiwi kucheza LCM, Kai inabidi acheze CF, hii itaturudisha kwenye 235 shape in possession, haya mambo ya diamond nimeangalia game vs Palace nikaona kuna gap kubwa sana upande wa Martinelli, compactness haipo, Martinelli anakosa mtu wa ku combine na ku rotate kama last season sababu kuna moments Kai anakuwa km second striker close to the box, Martinelli anabaki isolated mno ni rahisi kumzuia, hii inaua fluidity kwa kiasi kikubwa, soln ni kumsogeza kai at CF, mmoja kati ya Ode/ ESR / Trossard acheze LCm afu RCM abaki mnyama mkali Vieira, huyu kwa show ya jana mpira anaujua paka anajua tena afu he is so talented zaidi ya Bruno Fernandes.
 
Kai anatakiwa atokee sub....ili turudi kwenye Mfumo wetu. Kai siyo m baya ila huu mfumo ndo M baya lwetu
ARTETA kashamtumia Partey as RB Inverted kabla hata ya Kai kuja

Anamtumia hivo kwa kukosekana Zinny

Hii inaonesha mnaongea vitu msivyovijua
 
kitu ninachokiona kai harvertz sio mbaya ila hatakiwi kucheza LCM, Kai inabidi acheze CF, hii itaturudisha kwenye 235 shape in possession, haya mambo ya diamond nimeangalia game vs Palace nikaona kuna gap kubwa sana upande wa Martinelli, compactness haipo, Martinelli anakosa mtu wa ku combine na ku rotate kama last season sababu kuna moments Kai anakuwa km second striker close to the box, Martinelli anabaki isolated mno ni rahisi kumzuia, hii inaua fluidity kwa kiasi kikubwa, soln ni kumsogeza kai at CF, mmoja kati ya Ode/ ESR / Trossard acheze LCm afu RCM abaki mnyama mkali Vieira, huyu kwa show ya jana mpira anaujua paka anajua tena afu he is so talented zaidi ya Bruno Fernandes.
Umenena vyema ila huyu Kai sio wa kumsogeza kwenye CF, huyu atulie kwanza benchi coz kwenye hiyo nafasi kuna watu ambao wako clinical zaidi yake nikimaanisha Jesus na Nketiah.

Kai akicheza kama CF, maudhi yataendelea. Kosa kosa zitakua nyingi.
Tutaendelea ku-create xG kubwa kila game mwisho matokeo yakawa sio upande wetu.

Ukiwa kama CF nowdays unahitaji uingie kwenye battle na mabeki pamoja na viungo wa timu pinzani, and the worst thing hii ni EPL. Mabeki wako more physical. Muangalia mtu kama Van De Ven, Gvadior, Ruben Diaz, Konate, Tyrone Mings, n.k. Ukiwa na mchezaji mwepesi kama Kai, kila siku tutakua tukilaumu tu.

Hhm! Huyu Kai sijui tumfanyaje, mana hata Özil alikua mlenda lakini sio kama huyu.
 
ARTETA kashamtumia Partey as RB Inverted kabla hata ya Kai kuja

Anamtumia hivo kwa kukosekana Zinny

Hii inaonesha mnaongea vitu msivyovijua
Wewe ndugu acha POROJO zako sijui za inverted,sijui mfumo,sijui Kai anasaidia ku-win mipira ya juu kumbe ni UHARO tu, yaani as if Mpira huwa unaangalia mwenyewe na kuja kutupa porojo JF,acha ufala
 
Huyo jamaa kama ni ushabiki basi amepitiliza!
Anataka aonekane muda wote yuko sawa.

Mpira ni mchezo wa wazi. Haiwezekani yeye asifie kila kitu hata kama mchezaji au timu imecheza ovyo.
 
Hili jambo linashangaza sana sijawahi experience ufan wa namna hii anafanya kusudi but moyoni ukweli anaujua
Anasema eti nina chuki binafsi na Havertz.. kama ndo hivyo basi watu wote wanamchukia.

Apite tweeter akaangalie comments za wadau wa mpira kuhusu Kai.
Basi hadi Darren Bent anamchukia. Yeye ndie yuko sahihi.
 
Umenena vyema ila huyu Kai sio wa kumsogeza kwenye CF, huyu atulie kwanza benchi coz kwenye hiyo nafasi kuna watu ambao wako clinical zaidi yake nikimaanisha Jesus na Nketiah.

Kai akicheza kama CF, maudhi yataendelea. Kosa kosa zitakua nyingi.
Tutaendelea ku-create xG kubwa kila game mwisho matokeo yakawa sio upande wetu.

Ukiwa kama CF nowdays unahitaji uingie kwenye battle na mabeki pamoja na viungo wa timu pinzani, and the worst thing hii ni EPL. Mabeki wako more physical. Muangalia mtu kama Van De Ven, Gvadior, Ruben Diaz, Konate, Tyrone Mings, n.k. Ukiwa na mchezaji mwepesi kama Kai, kila siku tutakua tukilaumu tu.

Hhm! Huyu Kai sijui tumfanyaje, mana hata Özil alikua mlenda lakini sio kama huyu.
kwa definition ya physicality kwa mujibu wa Mikel Arteta Kai yupo mbele ya Eddy na Jesus sababu kubwa ni mrefu, something which i agree, Kai ana uwezo mkubwa wa kuipa timu tactical variation kuliko hawa wawili. Binafsi kiroho ngumu ningependa kumuona Kai at CF, Ode RCM, Viera Lcm, Rice at 6, Partey inverted fb ili aendelee ku cover gap lililoachwa na Xhaka defensively akisaidiana na Rice.
 
ARTETA kashamtumia Partey as RB Inverted kabla hata ya Kai kuja

Anamtumia hivo kwa kukosekana Zinny

Hii inaonesha mnaongea vitu msivyovijua
Game aliyomtumia ivyo pia ni Brighton na tulikufa 3 na, kina tonny adam walihoji why Arteta anamtumia Partey eneo hilo au ndo maandalizi ya msimu ujao (huu), naona ndo plane yake ilikua ila hailipi hata kidogo aisee
 
Kumradhi game na Nottghm
 
Back
Top Bottom