lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,370
- 25,466
Complaint ya mashabiki wa Chelsea kwa Havertz kwa miaka mitatu inaonekana haina maanaUpo off point, tunachosema, Havertz is not fit to start, ajifue, akiwa fit tutam-support. Vieira is different from Havertz, kipindi hayupo fit , kuna vitu ulikuwa unaviona kwake sio hii takataka ya arteta - Havertz. Acha kuabudu, nadhani hata nafsi yako inakusuta.
I guess arteta atakuwa ameishapokea phone call kutoka kwa Edu na investor kuhusu hiyo takataka yake
Havertz anaweza kuwa fit mechi nne hadi tano kwa mechi 38 msimu mzima, mengine ni legelege, hajitumi, don't care hadi mchukie, ndicho kitakachowatokea. Mkitaka mumfaidi Haverrtz, awe sub na mechi zingine asianze kabisa, akiwa benchi na kupewa dakika chache huwa anajirudi, akili yake inarudi to reality