Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuweke tofauti pembeni, nyumbu tukamzabue hivi
IMG-20230827-WA0008.jpg
 
Wewe ndugu acha POROJO zako sijui za inverted,sijui mfumo,sijui Kai anasaidia ku-win mipira ya juu kumbe ni UHARO tu, yaani as if Mpira huwa unaangalia mwenyewe na kuja kutupa porojo JF,acha ufala
dadamlamayai ulipotelea wapi aiseeeee au ndio moderator walikukula kichwa?
Tokea umeondoka mitusi ilikua imepungua sana humu, naona umerudi rasmi kuja kuuwasha tena.
Kai ni kiungo cha boli, tokea ametua Arsenyo amesaidia sana kupress na kuoverload, ushindi wote arsenyo inayoupata ni kutokana na juhudi binafsi za Kai ndio maana Arteta anamchezesha dakika 90, hata siku moja hajawahi kumtoa kwenye Sub, wewe ni nani wa kumpinga Arteta na chambuzi letu nguli humu Jf Mc masingeli?
 
yule mpiga zumali jana katukandia saaana sijui leo ana la kusema kuhusu timu yake kufungwa kama mtoto mdogo na Liver
Ila Nyukesto wametuangusha sana leo, yaani baada ya ile redcard ya VVD uwanja ulikua tayari umeshalala upande mmoja walikua wanauwezo wa kuwashona zaidi hata ya goli 3, yaani hawa jamaa na wenyewe kumbe wana kaUnyumbu flani hivi, shida sijui na wao kujiita United?
Labyrinth 84 leo mmezingua kinyama sana aiseee ndugu yangu, yaani hawa livakuku hua wanatunyanyasa sana Man Utd nikaamini baada ya Gordon kutupia goli la kwanza na vvd kula umeme mtatulipia vile vipigo vya mbwa koko, nikajisahau kumbe na nyie pia ni United tu kama sisi.
 
Ila Nyukesto wametuangusha sana leo, yaani baada ya ile redcard ya VVD uwanja ulikua tayari umeshalala upande mmoja walikua wanauwezo wa kuwashona zaidi hata ya goli 3, yaani hawa jamaa na wenyewe kumbe wana kaUnyumbu flani hivi, shida sijui na wao kujiita United?
Labyrinth 84 leo mmezingua kinyama sana aiseee ndugu yangu, yaani hawa livakuku hua wanatunyanyasa sana Utd nikaamini baada ya Gordon kutupia goli la kwanza na vvd kula umeme mtatulipia vile vipigo vya mbwa koko nikajisahau kumbe na nyie pia ni United tu kama sisi.
 
Nyukesto ukiwazibiti kwenye counter At umewamaliza baada ya red liver wakaja na mpango kazi uo, baada ya hapo kwisha habari yao, yan kipind cha pili liver walionekana kama wapo level kabisa kiwanjani wala hakukua na pengo
 
Ila Nyukesto wametuangusha sana leo, yaani baada ya ile redcard ya VVD uwanja ulikua tayari umeshalala upande mmoja walikua wanauwezo wa kuwashona zaidi hata ya goli 3, yaani hawa jamaa na wenyewe kumbe wana kaUnyumbu flani hivi, shida sijui na wao kujiita United?
Labyrinth 84 leo mmezingua kinyama sana aiseee ndugu yangu, yaani hawa livakuku hua wanatunyanyasa sana Utd nikaamini baada ya Gordon kutupia goli la kwanza na vvd kula umeme mtatulipia vile vipigo vya mbwa koko nikajisahau kumbe na nyie pia ni United tu kama sisi.

Daaah madogo wamezingua sana wakaanza kuleta mpira wa kibishoo kama hawa false hopers wa humu , gemu ilikua tumalize mapema kabisa.
Eddie howe naye ni fala tu amekariri subs gordon alikua anampa kashikashi trent alivyotoka plus tonali pale kati basiii matokeo ndo yakawa kama vile .
 
Mna mentality ya timu ndogo
 
Ni mda sasa wa Newcastle kuwa na kocha bora lasivyo itaendelea kuwa midtable timu
 
Back
Top Bottom