Kai anatumia Kiungo au false 9
Mm ni muumini wa 4-3-3 ya Double 8 ndan awepo Zinny
But kwasasa hatungeweza kucheza hivo Coz Zinny na Timber hawakuwepo
Wanaolaumu mfumo mfumo , hawaoneshi ubaya wa huo mfumo
Mm nafahamu Leno ,fabiansk,Martinez tukikutana nao wanakaza Sana ,
Hivi tungecheza kama manjesta je?
Ndio Maana nashangaa mashabiki wa manjesta wanaokuja humu , Arsenal kasare lakin huwez kusema tuna Hali mbaya
Mm napenda LCM wapokezane Rice ,Kai, Vieira ,Smith Rowe , Trossard kulingana na mechi
Hivi ni kweli Kai ndiye sababu ya kutoa sare Jana ?
Mbona Trossard hakuwa vzr , hata Martinelli bado hajaanza ku click ,why mbuz wakafara Kai ?
Hiki kitu ndio sikipend maana ni tabia za mashabiki wa manjesta na Chelsea,