Arsenal kachezaje vibaya Leo had ulaumu mkuu ,Tatizo sio sare style ya Arsenal mean uchezaji wake unafahamika na hautabadilika abadani
Sio kwa manjesta niliyoiona Leo hiiBig game sio za kukalili au kuingia na matokeo! Unaweza pewa suprise ukabaki mdomo wazi
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwa mpira mliocheza Leo Bora msilete timu wiki ijayoArsenyani vipi boli linatembea?
This is bullshit, mfumo unatakiwa ukupe output. In these past 3 games we have been poor na huu mfumo, katika match zote matokeo yamepatikana baada ya kuswitch kwenda mfumo tuliouzoea. Huu mfumo unatuexpose sana upande wa kulia.Mfumo haujatufunga ,
Hatujatengeneza nafasi za kufunga?
Fulham wameshikilia bomba sana
Trossard Leo hakuwa vzr mkuuTrossard nje, kafanya baya gani, kwanini asiendw nje kai, kisha trossard akacheza kwa kai,na mechi za maandalizi ya msimu alicheza position hiyo na akafanya vizuri.
Watu wanataka waone kitu kipyaRamsdale kakosea nn leo?
Goli la Leo limefungwa sababu ya mapungufu ya right side ?This is bullshit, mfumo unatakiwa ukupe output. In these past 3 games we have been poor na huu mfumo, katika match zote matokeo yamepatikana baada ya kuswitch kwenda mfumo tuliouzoea. Huu mfumo unatuexpose sana upande wa kulia.
Sasa nakuambia hivi tukianza na mfumo tulioanza nao leo against UTD tarajia tutaconceed in quick successions within first 20mins.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisikilize mm manjesta hakuna timu paleThis is bullshit, mfumo unatakiwa ukupe output. In these past 3 games we have been poor na huu mfumo, katika match zote matokeo yamepatikana baada ya kuswitch kwenda mfumo tuliouzoea. Huu mfumo unatuexpose sana upande wa kulia.
Sasa nakuambia hivi tukianza na mfumo tulioanza nao leo against UTD tarajia tutaconceed in quick successions within first 20mins.
Sent using Jamii Forums mobile app
Man u point 3 muhim, tunaendelea kupambana na glazers.Wewe manjesta umeona timu lako lilivyocheza leo
Au mnadhan mech yenu hatujaangalia
Mna Hali mbaya Sana
Hii sio sifa. Kuwashikisha bomba huko kumetupa nini?Fulham wameshikilia bomba Sana
Kwa XG hii
Arsenal (3.01) 2-2 (0.46) Fulham
Leno kafanya Kaz Sana ,
Limetokea wapi kwani? Unadhani kuna forward gani mpumbavu angekaa position aliyokuwa Perreira kama haananticipate errors kwenye that phase of play?Goli la Leo limefungwa sababu ya mapungufu ya right side ?
😄 Baada ya kuona mmepata draw nilichukia nilitaka mpigwe ila nature ya draw ilivyotokea ikanifanya nikafurahi zaidi.Kwa mpira mliocheza Leo Bora msilete timu wiki ijayo
Kwamuda ule yeyena kai,bado yeyealikuwa bora zaidi, ndio maana nikashangaa kutoka yeye kubaki kai.Trossard Leo hakuwa vzr mkuu
Nitakuwa hapa next week kukukumbusha. Sipendi matokeo yawe negative upande wetu, ila coach akimess-up basi naona kabisa nyumbu wakijipatia matokeo kiurahisi.Nisikilize mm manjesta hakuna timu pale