Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Genius Tetta
images.jpg
 
Hii ya beki wa kulia Partey ni kenge sana, full backs wapo kibao na wengine anataka kuwauza.
Arteta anataka acheze back 3 na inverted full back atakae enda kucheza kati na rice ni kama kule man city na stones na sasa ni akanji ila too bad beki za leo hizo 3 apart from saliba wengine ni presha sana
 
Mjinga mmoja anakosa big chances 2

Na hii siyo bahati mbaya coz we all know huyu mwana ana poor finishing

Watu unawaambia hii timu haishindi kama ambavyo inatakiwa iwe wanaokota maneno online wanakuletea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom