Pamoja na red hili liteam letu limeshindwa kushinda
Yan sare tayari unalalamika duhArsenal ni team inayopewa sifa ambazo sio zake humu JF[emoji67]🦯[emoji67]🦯[emoji67]🦯[emoji67]🦯[emoji67]🦯[emoji67]🦯 pamoja na Red card goal limerudi na style yake ya uchezaji ni ile ile frequently no plan B ok guys Goodnight
Tunakusubiri wewe wiki ijayoWenger orphans mnajua tu kupiga mdomo Ila uwanjani bure kabisa[emoji16][emoji16][emoji16]
Ndiyo hawezi sasa, matokeo yake ndo haya, beki imekuwa uchochoro aka chujio.Arteta anataka acheze back 3 na inverted full back atakae enda kucheza kati na rice ni kama kule man city na stones na sasa ni akanji ila too bad beki za leo hizo 3 apart from saliba wengine ni presha sana
Mpe hongera Leno ,Silva kafanya NiniBado sanaaaaaa, tusidanganyane kelele za mashabiki. 9 men punishing 11? Shame, namkubali sana Silva