Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Sasa kabumbu itapigwa
2-1Nanyie bila penalty saizi hampati magoal.
Wayaaaaaaaaa
Hii ndio arsenal ninayo ifahamu
He's back where he belongZinchenko now control the game
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Pesa ya Havertz ingepelekwa kwenye kituo cha orphans IMEPOTEA game imebadilika baada ya kutoka
Next mach vs Man utd kivumbi kitawaka
Dakika 9 nyingi hizo kwa 2-2Pamoja na red hili liteam letu limeshindwa kushinda
Arsenal wengi ni school boys bado watoto ndo wanakuaHakuna kitu, arsenal haijakaa sawa,zinchenko ana mizaha