Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KAI HAVERTZ toka akiwa Chelsea kuna baadhi ya mashabiki wa timu hiyo walikuwa wanamlinda na kumtetea kisa tu alifunga goli la pekee kwe fainali ya UEFA. Yaani ata akikosea wanamtetea niliwaona wa ajabu sana, mchezaji acheze hovyo hovyo eti anatetewa kisa tu alifunga goli. Huo ni upumbavu mkubwa sana

Kaja Arsenal kabla ata hajasajiliwa Hamisi na genge lake walimpa sifa utadhani ni mchezaji wa maana basi kumbe ujinga ujinga. Huyu HAVERTZ ni takataka tu na nina shangaa sana ameweza vipi kuwa mchezaji wa mpira wa miguu. Havertz hakufaa kuwa mchezaji wa mpira wa miguu ilifaa awe mchezaji wa rede. Mchezaji gani amelegea mithili ya mrenda.

Yule dogo ni hajui mpira analazimisha tu.
 
Kuanzia dk ya 29 kidooogo kai kagusa gusa mpira.
Kapiga pasi moja nzuri kwa declan, ikaenda kwa trossard, trossard martineli, kipa akaokoa.

Akapiga ile assist ya offsidena nina mashaka ile kama alikosea fulani hivi.. odergard akaweka kambani ila ndio offside.
 
Hamis sijui mpira anaangaliaga kwenye Tv za chogo,unawezaje kumsifia kai harvets kwa uzururaji anaoufanya yaani timu inaposses mpira dk zote inakosa wachezaji wenye maamuzi y kikubwa kukill game af unamsifia mzururaji ambae wengn wanapambn kuleta matokeo yeye anapress anapress nini wakati sisi ndio tunaishi na mali muda wote??
Ikiwezekana tufungwe tu arteta ameanza kuleta kiburi...
Yaan umuache smith rowe,jesus,nketiah,zinchenko umpake mafuta mzururaji
 
MAMAMAMAMAAMMAM ARSENAL MMENICHANIA MKEKA WANGU KENGE NYIE [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kuanzia dk ya 29 kidooogo kai kagusa gusa mpira.
Kapiga pasi moja nzuri kwa declan, ikaenda kwa trossard, trossard martineli, kipa akaokoa.

Akapiga ile assist ya offsidena nina mashaka ile kama alikosea fulani hivi.. odergard akaweka kambani ila ndio offside.
Pass ya goli la offside yenyewe aliikosea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom