Nawaona mkuu mutafika mbali sana ..sisi Chelsea bado inatafutana yani 😂😂Arsenal ya mwaka huu kaa mbali na watoto
Mpeni muda poch ,msimpe presha ,msimu huu ingieni kwanza top 4Nawaona mkuu mutafika mbali sana ..sisi Chelsea bado inatafutana yani![]()
Mchezaji wangu kabisa huyu..️ |
Eddie Nketiah closing in on first England call-up.
Former Newcastle manager Alan Pardew has confirmed that him and England manager Gareth Southgate have had conversations regarding the young English striker.View attachment 2728526



Raya nataman aanze leo ,but naona atadaka UCLAu
. .....,........... .....,........Nketiah. .....,........... .....,.....
.
.
Rowe. .....,.......... . .....,........... .....,..............,....saka
.
.
. ..,........,. Rice. ....,...,..partey. .....,... odegard.........
.
.
.. ..,.zinny. .....,...saliba. ...,.... Kiwior.....white....,...
.
.
. .....,........... .....,..........Raya. .....,........... .....,..........
Anaweza akapiga rotation, hapo bado Kuna trossad, nelson na mwanae fabioRaya nataman aanze leo ,but naona atadaka UCL
Kocha anasema ataki kuwa predictable
Natamani leo aingie hivi
. .....,........... .....,........Nketiah. .....,........... .....,.....
.
.
Rowe. .....,.......... . .....,........... .....,..............,....saka
.
.
.. .....,...... .....,. ........ odegard. .....,........... .....,....
.
.
. ..,.......,.....,. Rice. ....,..,.........,,..,...,..partey. .....,...
.
.
.. ..,.zinny. .....,...saliba. ...,.... Kiwior.....white....,...
.
.
. .....,........... .....,..........Raya. .....,........... .....,..........
Ni kweli mkuu, coz Msimu uliopita Fulham hawakua vibaya, walileta ushindani kwenye nafasi ya EuropaFulham ni wagumu kuliko Palace, sio wa kuwafanyia majaribio. Hii lineup yako inawafaa United
Kwanini unaona kama kaweka utani? Sababu kamuweka Rowe?Fulham ni wagumu kuliko Palace, sio wa kuwafanyia majaribio. Hii lineup yako inawafaa United
Amka mkuu, utaloanisha kitanda.At the moment, as things stand
1. Naiona invisible
2. Uefa au Ligi uhakika 100% moja tunapita nalo
3. NDOO mbili
(Ligi, UEFA, FA, Carabao)
#COYG![]()
Nakuona mmeshinda jana umekuja humu kutusumbuaAmka mkuu, utaloanisha kitanda.
MaKONDOO FC yameanza kuota tena. 😂At the moment, as things stand
1. Naiona invisible
2. Uefa au Ligi uhakika 100% moja tunapita nalo
3. NDOO mbili
(Ligi, UEFA, FA, Carabao)
#COYG![]()
Hii mistari imetulia, kama vile wameamdikiwa na N'JOMBA NCHUMALI harmonize.Ohhhhhh
Mik Arteta called him,
said “nows your time to shine,
cos I am collecting Gabi’s,
and Gunner make you mine”,
they say he walks on water,
then turns it into wine,
Oh I believe in Jesus,
The Arsenal number nine
#AFCView attachment 2727539