HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
Raha ya kuwa na kikosi kikali. Yaani huchagui, unajua tu yeyote atakiwasha. 😁😁😁Utaeatibu ni ule ule, zirushwe jezi atakaewai
Raha ya kuwa na kikosi kikali. Yaani huchagui, unajua tu yeyote atakiwasha. 😁😁😁Utaeatibu ni ule ule, zirushwe jezi atakaewai
Vieira kaenda Qatar?👉Wahuni sio watu😂😃🤒
From a prisoner at Fox River, to a sports Analyst in Qatari Channels
The real Glow up.
Hii ndio ile Grow ya pesa.
View attachment 2723816
Huyo sio virra mzee, ni t bagwell wa Kwenye prison break 🤒Vieira kaenda Qatar?


Real Madrid wana nia ya dhati ya kumnunua GABRIEL MAGALHAES lakini beki huyo wa kati ana furaha akiwa Arsenal.
Kuna nia kutoka kwa Saudi pia lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 25 amejitolea kwa Arsenal huku wakitarajia kupiga hatua moja zaidi kwenye ligi msimu huu. Kazi kazi mkuuRaha ya kuwa na kikosi kikali. Yaani huchagui, unajua tu yeyote atakiwasha.![]()
Holding mtoe anasepaKazi kazi mkuu
Kiwior, Gabriel, saliba, white, tomiyasu, ziny, holding
Nao warushiwe jersey tu
Kwa timu ipi? Ile pre season tulikuwa tunaweka mifumo na kujaribu jaribu combination ,baada ya game nitakukumbusha hii comment yako halafu 03Sept tukishawagonga goli za kutosha nitakuonyesha tena hii comment yako tayari nimeshaiscreenshot.
🤨🤨🤨🤨🤨🤨...hii nini tena hiiPépé has returned to Arsenal & is now training with the team rather than individually.
View attachment 2724135
Hawataleta timu uwanjaniNo shocks with squad
Zinny, Partey travelled
Huyu Jamaa sielewi elewi, Kuna muda naona Kama abaki as Saka backup, maana kiukweli Pepe ni Bora kuliko masebene ,hata mudrky...hii nini tena hii