Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,031
- 40,065
Washika mitutu naombeni app nzuri ya kuchek online ,nilikuwa natumia "AFRICAN YETU" sas imezidi matangazo mpaka game huoni vizuri nimeifuta.
Mimi nitakupa link hutajutia ,hakikisha upo angalau sehemu nzuri kiasiWashika mitutu naombeni app nzuri ya kuchek online ,nilikuwa natumia "AFRICAN YETU" sas imezidi matangazo mpaka game huoni vizuri nimeifuta.
Kama tulivyosema 3-diamond -3The Arsenal XI:
Aaron Ramsdale (GK), William Saliba, Ben White, Thomas Partey, Bukayo Saka, Martin Odegaard, Gabriel Martinelli, Eddie Nketiah, Takehiro Tomiyasu, Kai Havertz, Declan Rice
#CRYARS
[@Olly_A_informer]
Sawa on time itakuwa poa sana🙏Mimi nitakupa link hutajutia ,hakikisha upo angalau sehemu nzuri kiasi
Huo mfumo unataka no.10 /8 wawe watatuKai na Arteta loh ngoja tuone tena!!
Trossard awe mpole tu coach ameona nini sijui kwa KaiKai na Arteta loh ngoja tuone tena!!
Al-Ittihad president Anmar Al-Haili met with Arsenal defender Gabriel Magalhães in London today to continue negotiations, which are said to be positive, to sign the player. Pira birianiMabundi tunaruhusiwa kuweka kambi humu?
Mi nimeiona kwakwli imenihuzunisha...inamaana pesa ndo Kila kitu sasahv...anatupa umri wake wa kucheza soka la ushindani kwa ajili ya hela....na kama anaondoka anauzwa kwa bei gani??....na hyo Diamonde si tutapigwa hela nyng maana itaonekana tuna shida kwlikwli na muda sio rafiki kwetu kabisa...just one week na visiku kadhaa kabla ya dirisha kufungwaHii habari Kama ina ukweli hivi
Huenda Kama anauzwa Basi Diomande anaingia
Al-Ittihad president Anmar Al-Haili met with Arsenal defender Gabriel Magalhães in London today to continue negotiations, which are said to be positive, to sign the player.
[@ahmad2man] #afc
nahisi ndio mana arteta hajamuanzisha kwenye izi game mbili zilizopita..Hii habari Kama ina ukweli hivi
Huenda Kama anauzwa Basi Diomande anaingia
Al-Ittihad president Anmar Al-Haili met with Arsenal defender Gabriel Magalhães in London today to continue negotiations, which are said to be positive, to sign the player.
[@ahmad2man] #afc
Wabrazil wanaangalia Sana pesa mbele , tulimnunua nadhani kwa €26m hivi , Kama anavutiwa kwenda kula pesa saudia ,Arsenal hawawez muachia kwa chini ya €50m+Mi nimeiona kwakwli imenihuzunisha...inamaana pesa ndo Kila kitu sasahv...anatupa umri wake wa kucheza soka la ushindani kwa ajili ya hela....na kama anaondoka anauzwa kwa bei gani??....na hyo Diamonde si tutapigwa hela nyng maana itaonekana tuna shida kwlikwli na muda sio rafiki kwetu kabisa...just one week na visiku kadhaa kabla ya dirisha kufungwa
Baada ya Mechi ,waandishi watamuuliza ,nahisi ndio mana arteta hajamuanzisha kwenye izi game mbili zilizopita..
Wewe subiri kina Chino wanamanMabundi tunaruhusiwa kuweka kambi humu?
Value ya hyo beki wa Sporting ni kiasi ganiWabrazil wanaangalia Sana pesa mbele , tulimnunua nadhani kwa €26m hivi , Kama anavutiwa kwenda kula pesa saudia ,Arsenal hawawez muachia kwa chini ya €50m+