Kwasasa mapema Sana mpe muda , bado kile kikos Cha Chelsea anaki arrange , ngoja aanze na kina Caicedo, Lavia , Enzo,
Kuna changamoto amekutana nayo na Ligi imeshaanza , Pochetino sio kocha mbaya kimbinu .
Soon tutaona akiokota points ,lait Jana Enzo angefunga ile penalty ,leo mashabiki wangemsifia Pochetino, ile penalty ilikuwa iwafanye Chelsea waongoze .
Kwa Mimi mapema Sana kuona Kama Poch ni kocha mbaya ,nasubiri angalau mech 10
7hag nilimuona ni kocha wa kawaida mapema sababu ya Sajili zake Kama za kina Anthony,Malacia , casemiro 30+,
Kwa Poch nashindwa kutoa kauli mapema sababu ndio kwanza kawekewa wachezaji wazuri na Ligi imeanza, Kuna mechi kadhaa hapa ata shake kidogo ,