Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji16][emoji16][emoji16] Msimu huu msahau kabisa kumuona tembo pale juu, akijitahidi sana atakaa mechi moja halafu mechi ya pili wahuni wanampopoa na kumkuta chini.
One season wonder hua ni mwaka mmoja tu muulizeni Leicester analijua hilo, msitegemee msimu huu yatatokea yaleyale ya msimu ulioisha.
Tusubiri ligi ichanganye tujionee mitusi humu.