Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pepe scored 10 Premier League goals & 6 in the Europa League in 2020/21

If Sancho or Anthony masebene does that, Man United will build a statue[emoji817]
20230821_153353.jpg
 
[emoji2788]Mikel Arteta -

"We want to be more aggressive even if we are 2-0 up"

(@footballdaily )
 
Gabriel Magalhães does NOT start tonight.

[via @FPLSout
Kachelewa kudaka jersey

3 diamond 3 huu mfumo kuanzia kocha Hadi wachezaji muwe na utimamu kichwani

Ni mfumo unahitaji zaidi possession, hapo inahitaji umakini mwanzo mwisho, Co muda wowote unapewa mpira
Na ukitoa mpira tafuta chumba upewe tena Mali

Ni mfumo ambao inabidi tuwe makini Sana na hii mikaunta ya butua butua

Wakiingia kwenye mfumo wanaweza wakala chuma 4 mapema sana
 
Huu mfumo ukijaa unaweza shinda hata goli 8

Johan cryuff anasema ni mfumo unakuwa balanced maeneo yote , wachezaji wanatakiwa kuwa Sharp kila mmoja atimize majukumu yake
 
Huu mfumo ukijaa unaweza shinda hata goli 8

Johan cryuff anasema ni mfumo unakuwa balanced maeneo yote , wachezaji wanatakiwa kuwa Sharp kila mmoja atimize majukumu yake
Huo mfumo ulivyoiva bale Barcelona ile ya xavi, iniesta na Messi
Watu tulikua tunaona Kama wanacheza mpira rahisi Sana
Lakini iniesta alipohojiwa akasema, hakuna mpira mgumu tunaocheza Kama huu mnaouona, coz muda wote inahitaji ukimbie, uame vyumba, utoe mpira upewe mpira

Huo mfumo wanahitaji wachezaji sharp Kama ulivyosema
Lakini pia wachezaji wanye uwezo wa kuusoma mchezo kwa haraka, pass accuracy
Tena niliona ukiwaambia nyumbu, pass zinafundishwa, haziji hivi hivi[emoji1][emoji1][emoji1]

Profiles anazohitaji Arteta ni blue print ya cryuff baba wa tiktak
Tupo phase ya nne, phase ya tano ndio makombe yanaanza kuingia according Arteta. Yeye anakuambia hapo timu bado inakosa balace baadhi ya maeneo.

City anatufanyia roho mbaya hataki kutuuzia wachezaji
 
[emoji599]Mikel Arteta

[emoji837]Tuna flexibility sasa na tuna uwezo wa ku rotate kikosi na kutumia wachezaji katika nafasi nyingine.

[emoji837]Tutakuwa wasiotabirika zaidi.”

[emoji837]Mikel Arteta anasema muundo na mbinu zake hazitatabirika zaidi msimu huu.

[emoji837][emoji836]View attachment 2724124
Hata sisi wenyewe tumeshindwa kumtabiri tunabaki kushangaa kama last game partey kutokea kulia [emoji16]
 
[emoji599]The Arsenal XI:

Aaron Ramsdale (GK), William Saliba, Ben White, Thomas Partey, Bukayo Saka, Martin Odegaard, Gabriel Martinelli, Eddie Nketiah, Takehiro Tomiyasu, Kai Havertz, Declan Rice

#CRYARS

[@Olly_A_informer]
 
Washika mitutu naombeni app nzuri ya kuchek online ,nilikuwa natumia "AFRICAN YETU" sas imezidi matangazo mpaka game huoni vizuri nimeifuta.
 
Washika mitutu naombeni app nzuri ya kuchek online ,nilikuwa natumia "AFRICAN YETU" sas imezidi matangazo mpaka game huoni vizuri nimeifuta.
Mimi nitakupa link hutajutia ,hakikisha upo angalau sehemu nzuri kiasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom