Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

20230818_153106.jpg
 
Nipe hiyo shortcut
Rudi home page,gusa bars tatu zilizoko mkono wa kushoto juu,kisha gusa profile yako I mean avatar yako,itakupeleka kwenye profile yako,gusa sehemu iliyoandikwa posts,then fungua last post yako kwenye uzi wa arsenal baada ya hapo hakutakuwa na shida tena
 
Binafsi nilienjoy sana game ya Notts forest, hasa Declan anavyosaidia build up, then kwenye 2nd phase role yake inachange anakuwa #8. Ni mid wachache sana #6 wanaosaidia build up, hata Rodrigo hausiki kwenye build up, role yake mara nyingi ni ku-screen opposition press, Gundogan alihusika pakubwa kwenye build up ya City na Guardiola alimtaka rice kama replacement ya Gundogan, this tells you a lot about Declan.
Declan Rice ana uchezaji Fulani wa ki leadership sana. wapinzani wakijaribu kufanya move ya kutushambulia, nikimuona Rice karibu najua move ishakufa hiyo. Hata pass zake na anavyokaa na mpira, hauoni kama ataupoteza. Inshort jamaa anawafanya hata wengine wawe comfortable
 
Chelsea have interest in Balogun. Arsenal want £50m but fully expect that price tag to increase for their London rivals.

(@JoshHollandFL )
 
Chelsea have interest in Balogun. Arsenal want £50m but fully expect that price tag to increase for their London rivals.

(@JoshHollandFL )
Wakifika hyo hela tuwape tutafute watu wengine...mda hauko nasi kwa Sasa...tunahitaji replacement ya Timber ASAP....Mungu aepushilie mbali Saliba asipate majeraha makubwa tutarudi kulekule
 
Declan Rice ana uchezaji Fulani wa ki leadership sana. wapinzani wakijaribu kufanya move ya kutushambulia, nikimuona Rice karibu najua move ishakufa hiyo. Hata pass zake na anavyokaa na mpira, hauoni kama ataupoteza. Inshort jamaa anawafanya hata wengine wawe comfortable
Smart sana.
 
Chelsea have had discussions with Florian Balogun representatives last night and today. Player has an offer from Monaco. Decision on future next week likely.

(@TheSecretScout_ )
 
Chelsea have had discussions with Florian Balogun representatives last night and today. Player has an offer from Monaco. Decision on future next week likely.

(@TheSecretScout_ )
Hii taarifa kwamba tupo kwny mazungumzo ya kumsajili Cancelo Yana ukweli???....Balogun atakayefika bei auziwe
 
BREAKING:

Folarin Balogun’s decision is expected by the end of next week.

Chelsea have had discussions with his agents yesterday and today.

The American has an offer in the table from Monaco.

Reports, @TheSecretScout_.
 
Hii taarifa kwamba tupo kwny mazungumzo ya kumsajili Cancelo Yana ukweli???....Balogun atakayefika bei auziwe
Cancelo hapana ,cancelo anakaribia kujiunga Barcelona

Arsenal watasajili beki mwingine ame confirm Mikel

So tusubiri
 
Back
Top Bottom