Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta on Raya:


Better qualities for our game model. We want two players per position. What happened to Jurrien can happen to a goalkeeper. If Aaron were to sustain a cruciate what would you say. We have two excellent goalkeepers.
20230730_170348.jpg
 
@JamesGreenInUK: “Is there a number one?”

Mikel Arteta: “In any position? No. 9, 7, 11, 6, goalkeeper - No.”

Mikel Arteta says there isn’t one player in the Arsenal squad that’s first choice.
IMG_20230810_223327_504.jpg
 
“He played the final, no? A player that plays five days before in the final is part of the plans for sure.”

Mikel Arteta says Kieran Tierney is part of his plans going forward. 󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿
FB_IMG_1690008880406.jpg
 
Arteta on potential deals following Timber Injury -

" We are always open and we have to be open as well to the injuries but also to react to the market."

 
𝙏𝙧𝙖𝙣𝙨𝙛𝙚𝙧 𝙣𝙚𝙬𝙨 - 𝙇𝙄𝙑𝙀!

Arsenal to hijack Benjamin Pavard move
 
𝙏𝙧𝙖𝙣𝙨𝙛𝙚𝙧 𝙣𝙚𝙬𝙨 - 𝙇𝙄𝙑𝙀!

Arsenal to hijack Benjamin Pavard move
Hyu si alikuwa anaonekana anaenda Inter....rekodi yake ya Injury ikoje naye hyu....nilikuwa nasikiasikia naye ni kama baiskeli ya barafu...au uzushi tu??
 
Binafsi nilienjoy sana game ya Notts forest, hasa Declan anavyosaidia build up, then kwenye 2nd phase role yake inachange anakuwa #8. Ni mid wachache sana #6 wanaosaidia build up, hata Rodrigo hausiki kwenye build up, role yake mara nyingi ni ku-screen opposition press, Gundogan alihusika pakubwa kwenye build up ya City na Guardiola alimtaka rice kama replacement ya Gundogan, this tells you a lot about Declan.
 
Jana kulikuwa na mechi ya kirafiki kwenye uwanja Conley London huku David Raya akicheza dakika 60 ilikuwa mechi dhidi ya Luton

Zinny naye alipata nafasi ya kucheza dakika nyingi

Magoli yetu yalifungwa na Bukayo Saka na trossand aliye funga magoli mawili
FB_IMG_1692360791794.jpg
 
Jamie Carragher -

"Bei za Rice na Caicedo ni bargain. Pia ni dili nzuri.

Ushahidi wa hilo ni pauni milioni 70 ambazo Manchester United walilipa msimu uliopita kwa ajili ya Casemiro.

Mbrazil huyo ataishia kuigharimu United zaidi ya Arsenal na Chelsea walivyolipa Rice na Caicedo. ."

"Caicedo na Rice ni mifano ya kufikiria mbele - kuokoa pesa kwa miaka sita au saba ijayo ambapo watachukua jukumu lao."

"Sikuwahi kuamini kwamba Casemiro angekuwa na thamani hiyo ya pesa. Sio kwa sababu kuna shaka yoyote na uwezo wake amekuwa mchezaji wa kiwango cha juu . Lakini kwa sababu yuko katika hatua ya mwisho ya kazi yake ambapo hawezi kulipa kikamilifu ada kubwa ya United.

Ni panic buy alipojiunga mwaka mmoja uliopita, alinunuliwa mara tu baada ya kushindwa kumfuatilia Frenki de Jong kutoka Barcelona"

"Casemiro alikuwa bora kama mtu yeyote duniani wakati huo. Sasa kuna hatari United wanaweza kuwa na anasa ya gharama kubwa wasiyoweza kumudu.

Hawatakuwa washindani wa mataji hadi wampate Rodri, Caicedo au Rice wao wenyewe."

(@YahooSports)
 
Back
Top Bottom