Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

It is understood Timber is now expected to undergo surgery to repair the injury and is likely to miss a minimum six months of the season, although Arsenal are reluctant to put a specific timescale on his recovery.

(@SamiMokbel81_DM )
Habari mbaya sana hii aisee
 
Lucas Paqueta yuko njiani kutua Etihad, Huyu Pep kuendelea kuwepo kwenye Epl basi shida itabaki palepale tu, wala hata tusijifariji kuumia kwa KDB na kuondoka kwa Mahrez na Gundo.
Pep ndio mwenye sifa stahili ya kuitwa The tactician & Masterclass sio huyo Michelle LaVaughn Robinson Arteta.
Pochettinho anakuja kumpindua huyu takataka Pep ..amini kwamba.
 
Unamnunua Madueke pesa kubwa mshahara mkubwa

Una Sterling, mshahara mkubwa.

Unamnunua Olise mshahara mkubwa na mkataba mrefu

Kisha una Omari.

Hii inamaanisha hapo kuna mmoja atakua uwekezaji mbovu itabidi uachane naye.

Olise siyo mbaya nilitamani Arsenal tuwe naye, ni kama Mudryk ila tatizo ni kwamba wakija investment uliyonayo sasa inabidi uiditch kwaajili yao.

Chelsea watachezaje hapa
 
.itawachukua miaka 1000 kugusa hili kombe ,achilia mbali na kulibeba kabisa
FB_IMG_16922453363400762.jpg
 
It is understood Timber is now expected to undergo surgery to repair the injury and is likely to miss a minimum six months of the season, although Arsenal are reluctant to put a specific timescale on his recovery.

(@SamiMokbel81_DM )
six months duuuuuuh
 
Unamnunua Madueke pesa kubwa mshahara mkubwa

Una Sterling, mshahara mkubwa.

Unamnunua Olise mshahara mkubwa na mkataba mrefu

Kisha una Omari.

Hii inamaanisha hapo kuna mmoja atakua uwekezaji mbovu itabidi uachane naye.

Olise siyo mbaya nilitamani Arsenal tuwe naye, ni kama Mudryk ila tatizo ni kwamba wakija investment uliyonayo sasa inabidi uiditch kwaajili yao.

Chelsea watachezaje hapa
Boehly ni muhuni sana, hapo kwa haraka haraka hawazi hao wachezaji watamnufaisha vipi uwanjani, anachowaza ni namna gani atafaidika msimu ujao akiwauza Saudia.
 
Arsenal beat Luton Town in a behind-closed-doors friendly today, with two goals from Trossard and one from Saka. Zinchenko, Nelson and Raya all played.
 
Declan Rice -

"When we were away in America [in pre-season], I've never seen someone so sharp in training as Martinelli."

"He's so sharp," he added. "Martinelli is faster than Saka [in a sprint]. 100%. Those two on the wings is frightening."

(@eurosport )
20230727_075833.jpg
 
Arsenal played behind closed door game today v Luton and won 3-0. Raya in goal and Trossard scored twice.
 
Arteta on Kai Havertz -

"He’s fitted in really well. I think he played a really good game against Man City, he had two big, big chances to score, and he didn’t, but everything he did apart from that he was excellent.

The other day as well he played in two different positions throughout the game, one more as a number eight, one more as a number 10.

I’m really happy with what he’s bringing to the team, his intensity, his mobility, his threat, his understanding of the game and spaces and the way he’s fitted in around the boys as well, so I’m really, really happy with him."

(Arsenal)
20230728_141650.jpg
 
Back
Top Bottom