999 chatta
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 917
- 1,705
Na ndiyo maana tunawaita plastic fansHakika nilibak shabik city kwny ligi tu lkn uefa nilikua na La Pulga.
Ndo maana unaona kaondoka Psg na Followers wake wamepungua kwa wingi tuko sasa Inter Miami... Krb pia la Pulga ni kama Maji tu. Ni ww uchague matumiz yake yawe yapi.
Hakuna Die Hard fan mzee[emoji23].. Die hard fan team ya baba yako bana au unaipa hela ww acha kuleta neno die hard, die hard wkt hauchangii hata team chochote mkuu ww sisi ni wapiga kelele tu.Kwahiyo wewe ni plastic fan (WA man city), sio kama wale wa kuitwa die hard fan??
Kama ushabik wng wa la Pulga alipo nipo unanifanya niwe Plastic fan.. Bas nakubal mm kwl ni plastic fan kwa sbb kama nilivosema la pulga ndo mpr wnyw.Na ndiyo maana tunawaita plastic fans
Wewe haujiulizi kwnn dunia yetu ya tatu huku washabik wa Aston villa wakina Crystal palace hawapo au ni wa kutafuta kwa tochi sana.. Unahis kwnn?Kwahiyo wewe ni plastic fan (WA man city), sio kama wale wa kuitwa die hard fan??
Watu mnafukua makaburi 😂😀😂😂 shikamoo mzungu. Franklin1902 kumbe wewe ni mzamiaji wa CityWewe ni Plastic fan, a.k.a glory hunterView attachment 2715832
Alipo la Pulga me nipo mkuu.. Huyu ndg yngu kajrb kuleta hoja.. Sasa namjib kwa point naona kakubal points zngu kua kila mtu ni mzamiaji wa izi team hakuna team mtu kaanza shabikia ikiwa haina muelekeo kama anabisha kila mtu aseme yy kaanza kuipenda team yake lini tuchambue tuone kama kwl sio Plastic fan[emoji23]Watu mnafukua makaburi [emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] shikamoo mzungu. Franklin1902 kumbe wewe ni mzamiaji wa City
Pale ni sawa tumepgwa, yule hawez kumaliza game tano bila kwenda wodini.Nkunku atujapigwa mkuu ..ni suala la muda tu akipona tu awa arse8 watajamba cheche
Kocha mpaka anabadili winning formula Ili tu Harvetz acheze. Naona hata Smith au Trossard are better wakicheza nyuma ya Nketiah kuliko huyu galasaHavertz anaonyesha nini ambacho kinamtrick Kocha hamtoi?
Ikiwezekana Balogun asiuzwe au akiuzwa asajiliwe a better finisher wa Calibre ya Vlahovic.Arsenal inahitaji MSHAMBULIAJI(GOAL SCORER) hili tumelipigia kelele sana imagine tumeshika chupi mkononi wakati game ilitakiwa iishe half time ball possession 85 for 15 but sisi roho mkononi na Champions league kwa style hii ya uchezaji kama goal la kwanza tuliroruhusu kazi ipo ,Arteta muda anao aingie sokoni na Edu walete killer goal scorer ASAP
A very big misconception mbona alifeli kwa Willian, Tavares na Lokonga?. Kila mwenye akili anajua Harvetz ni ozil wa kichina!!!na Bora ozil alikua creative na accurate ila huyu ni mzigo na hawezi kufunga!!Mimi bado naamini Arteta anajua kuliko mashabiki wengi wa Arsenal humu ndani.
Hii sms ntakukumbusha zikibaki game 5Huu ni mwanzo wa musimu tuuu..nyie tumieni nguvu mwanzoni . Sisi tutamaliza ligi juu yenu
Kwani kocha gan ambaye sajili zake hafeli?A very big misconception mbona alifeli kwa Willian, Tavares na Lokonga?. Kila mwenye akili anajua Harvetz ni ozil wa kichina!!!na Bora ozil alikua creative na accurate ila huyu ni mzigo na hawezi kufunga!!
Huyu anaweza kuwa anguko la Arteta kama ataendelea kumkumbatia, ESR na Trossard are far better kuliko huyu ngongoti.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu ndio wanakuwa na mdomo SanaKwahiyo Mess alivyoenda PSG, ukaacha kuishabikia Man City kwa muda? View attachment 2715836
Ndio Maana mashabiki wa hivi huwa nashangaa wanaowajibu Maana Wana tabia za kimalayamalayaGlory hunter huyo, nenda jukwaa la psg utamuona
Huyu Jamaa ni mnafiki kumbe unamjua ,leo Anasema ni die hard fan wa city [emoji1787][emoji1787]Wewe ni Plastic fan, a.k.a glory hunterView attachment 2715832
Mkuu vitu vingine tuacheni ujuajiMfumo aliojaribu arteta leo ni majanga mnoo kwa timu inayopiga counter, yenye kumtumia winga kiberenge.
Kina saliba chini pale walikuwa wanakaa na mpira, anaweza kusimama na mpira mpaka sekunde kadhaa hampasii mwenzie,sijajua ni kwaninj, kuna haja ya kuchangamka.
Kai anaruka ruka, rice anaonesha kitu kadri siku zinavyokwenda.
Hata kama ozil ni lazy huyu kai sijui tumpe sifa gani[emoji1787], leo kuuficha mpira tu tabu kwake[emoji1787].
Nketiah timu si wa kutegemea.
Possession, na chance tulizotengeneza, na magoli tuliyofunga ni vitu viwili tofauti, kwa possession ya 80+% unategemea kuwe na chance created za kutosha, goli za kutosha.
Alifuta caption[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tofautisha kuponda na kukosoa.Nyie kila mechi mnaponda mnataka Arsenal icheze kwa possession 100% Hakuna powerful formation ndio Maana modern football imehamia 4-3-3 huwezi kutawala EPL Sasa na 4-2-3-1
Ambangile ni kocha anachambua vizuri Sana hata huyo nonewthing hakuna alipoponda kamsome leo yeye anachozungumza Kai acheze CF
Arteta amlete locateli
Wala hachambuagi formation yeye ana malalamiko yake Partey hakimbii Kasi imeisha
Binafsi nachokion kwa kai sio mshindani yaan mpambanaji anaoffer vitu vya kawaida ambavyo impact yake ni ndigo kwenye timu yetu...mfumo wa jana hata angeanz smith rowe kama second striker nadhan tungefunga magoli mengi zaidi sabb aslimia kubwa nottnham tuliwazidi mbinu parefu san ikafk muda kocha wao akawa hajui afanye nini kidogo sub yao na ile counter attack ambayo pia kai alichezewa rafu ikawarudish mchezoni...siwez sem kai ni sajili bora kwetu na hii inaonekn mchn kweupe angalia Rice na timber wanatupa energy uwanjani na upambanajiTuliwaambia humu kuhusu Biashara ya KAI jamaa wao yule oya oya akaja na stats na facts uchwara kumtetea.
KAI hata ukichukua Mama Ntilie ambae hajawah kuangalia mpr akamuona kwa mara ya kwnz uwanjan anajua kbs hapa hakuna mchezaj.
Huyu kijana anatembelea lile Goal alilotupiga UCL final lkn tofaut na hapo ni total rubbish mvivu na mzito sana.