ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,554
- 7,993
Mpaka 15:00Hrs...wanasema Partey anaharisha sana.Uhuni sana
Mpaka 15:00Hrs...wanasema Partey anaharisha sana.Uhuni sana
DSTV Wanazingua Nikajua Labda Sie TuHata kwangu imegoma nimewasha DSTV na kuzima nikihisi ni network
Pia kuna rotation upande uo, White wakati wa kushambulia atakua pembeni kufanya kama ambavyo hua anafanya pamoja na Saka hapo kuna kua na room ya Partey kua kama CCB pamoja na Timber na Saliba..Mimi naona hii game itakuwa na fluidity ambayo ni more diffensive uwepo wa saliba,white na timber ambao ni CB na partey ambaye ni DM kwangu hii inaniambia ingawa tunatafuta ushindi lakini tunaangalia usalama kwanza.
Kwa benchmark aliyoiweka jana city ya goli 3 ni kama amewapa presha counterparts wengine na atakayeingia kwa kujilipua asishangae akaacha points kwenye game 1
Pia hivyo hivyo mkuuHapa Nilipo DStv Imegoma , Vipi Uko Kwenu Mnacheki Au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi ARV zimepanda kichwani?Mpaka 15:00Hrs...wanasema Partey anaharisha sana.
Bado mawili tukae juu.. qqmkkAhh mamaeee arsenal BINGWA