Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brentford walikuwa wanamtakaga Sana Nketiah kipind fulani

Tunaweza kufanya nao biashara kuimarisha mahusihano
 
Maoni yangu;

Kama ikitokea tukawasajili RW-KUDUS na CM-DOUGLAUS LUIZ kwaajili ya kucheza LCM nadhani kwa dirisha hili inatosha, tuingie vitani kupambana tu.

Kisha January, tukamchukue IVAN TONEY na RCB mmoja matata biashara inakwisha alafu twende kwenye mechi yoyote ile.

Labda Mungu awe hajapenda tu.
 
After a meeting with Charlie Patino last week, Mikel Arteta has managed to persuade the 19-year-old to stay on at Arsenal beyond this season.

Arteta showed the player the plan he has for his route into the first-team with Patino now happy to return to Arsenal next season.

He will move to Swansea City on a season-long loan instead, as per @FabrizioRomano.
 
Mkuu unasema humkubali martineli???

Mi naona martineli ndo engine ya asenal pale mbele asee.

Ukiangalia kasi alokua nayo, jinsi anavyosumbua beki za wapinzani kule mbele dah

Martinel kwa mtazamo wangu ni muhimu sanaaa kwa arsenal !!!
Martinel ni mchezaji wa kawaida sana sijui huwa mnaona nini kwake? Kwa sasa hamuwezi kunielewa.
kUna kipindi wakati liva ni ya moto Trent nae hashikiki, ila kuna jamaa yangu wa liva nikamwambia trent ni tobo la mashambulizi akabisha na kubisha.

Ars888 mna wachezaji kama watano tu basiii Saka, Ode, Partey,saliba na Trosad. waliobaki ni wazururaji uwanjani.
 
Wakawaida kufananisha na Mchezaji wako yupi?

Nelli yupo kwenye mawinga Bora duniani
 
Nimekumbuka msimu wa kwanza wa KT, jama alikuwa anamwaga maji kutoka pembeni kule kama anatembea na jagi. Af yanafika bila kumwagika.
 
Brentford Kwa miaka mingi sana imekuwa community project yetu. Mpaka tukawa tuna tamaduni ya kucheza nao preseason friendlies na huenda kuchangia maendeleo yao. Arsenal tunafurahi sana wamepanda mpaka kwenye ligi kuu
Kweli asee Jamaa tuna mahusihano nao mazuri, ila inasemekanaga yule kocha wao Frank ni arsenal fan
 
Anaenda kutupa option hasa tukicheza na Kai Kama false 9 kumpigia mipira mirefu na kufanya transition ya haraka

Pia kumpa mipira Martinelli kwenye kufanya kaunta attack
 
Pia nimependa huu mkataba ulivyokaa Kwa Raya na career yake. Anakuja kupambana na Ramsdale kwa no. 1 spot rasmi huku yeye akiwa ameshajiestablish kama one of the best keepers in the league ila anajua Ramsdale naye si haba. Competition itakuwa kali. Asipoishikilia no.1 vya kutosha anaweza kurudi Brentford aendelee kuwa main no.1 na aendelee kupambania no.1 spot ya Spain.
 
Oyaaa mbona hii hoja tunapita kama hatuiona hakuna cha kungangia hapa?
 
Zinchenko ni mzururaji??
 
Una safari ndefu sana ya kujifunza mpira
 
Yah true , Successor wa Partey #6 ni Rice ,

Nimeona pia wanasema Rice anacheza hayupo fit kabisa, watu wakaribu wanasema bado hatujamuona Rice akiwa fit
,

Lakin pia Rice ni versatile player ambaye unaweza kumbadilisha akacheza LCM , kwa majukumu tofauti na LCM ya Kai ,

LCM ya Rice ni kwa mech Kama ile ya City,

Anakuwa adrop had kwenye backline ,tofaut na LCM ya Kai androp Zaid kwenye double pivot

Rice alianza career yake Kama CB, hata Wenger alimtabiria makubwa baada yakumuona katika nafas ya CB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…