Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama liverpool wataendelea kujaza mipira mirefu kwenye box yenu kama hivyo, Carrol atawapa shida....vingenevyo sioni kama wanaweza kufanya madhara makubwa labda akiingia Suarez.
 
Huyu Frimpong kama hata acha USE......La then hii 1st half hamalizi.........
 
Sagna ndio Marker wa Caroll inanipa mashaka kwenye aerial challenges.
 
na mm nimo jaman.....hii timu yenu kwel itamaliza msimu?
 
Apa Anfield au emirata?
Hivi wee Wacha(1), unapata wapi moyo wa 'kuacha' shughuli zako ukaingia Emirata kuangalia upupu huu wa timu yenu...n hamja gain match fitnes au ndo kiwango kimefika tamat?
 
Nasriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......Leave us with happiness........
 
Liverpool wajaribu plan B...naona set pieces tatctic arsenal defense wako safi kuziosha.
 
Huyu Frimpong ! tunamuhitaji amalize dakika 90 naona tackle zake anaweza kulambwa kadi ya pili
 
Back
Top Bottom