mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Kenge timu nzima itakua wodini baada ya wiki 3 Hadi 5Kwakweli Kama Hojlund ana goli 9 kauzwa €85m
Anthony masebene goli 6 aliuzwa €100m
Mount goli 1 ndani ya mwaka na nusu kauzwa €65
Nyumbu ndio 90% ya timu ni flop kabla ligi haijaanza, automatically inawafanya 10% waonekane flop
Livepunda ndio anaitafuta nuru, huku sehemu kubwa ni wazee wakiwa wanai-run project
Naiona epl ya city na arsenal for more than 5 years